Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Huu nao ni usanii?Tunataka sababu ya kuahirishwa mechi,mbona anakwepa hapo?
Tukienda huenda Kuna mtu akalaliwa na gogo na yeye ukute ni kigogo..😂Tunataka sababu ya kuahirishwa mechi,mbona anakwepa hapo?
Wapewe tu. Ili ajiimarishe nafasi ya piliNi jambo jema!
Yanga wanastahili kupewa Pweinti 3 na magoli 2.
Simba ndio waliosababisha.Wachezaji wao wengi wamefunga Ramadhani wakawaambia TFF kuwa watakuwa hawana nguvu sababu ya swaaumu hhivyo wakaomba mchezo uchezwe saa moja usiku baada ya wao kufuturu saa 12 jioni.Tunataka sababu ya kuahirishwa mechi,mbona anakwepa hapo?
Huyu naye ni Mhuni na laghai Mkubwa. Alitwambia Mwendazake anapitia mafaili. Kweli akapitia mafaili jumla.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kutoa taarifa haraka sana kwa Watanzania juu ya tarehe ya kuchezwa kwa mchezo huo na pia ieleze utaratibu kuhusu hatima ya waliolipa viingilio ili kushuhudia mchezo huo.
Pia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasihi Watanzania kuwa kuwa wavumulivu ili kuipa muda Wizara kwa kushirikiana na taasisi zinazosimamia mpira wa miguu ikiwemo TFF kuja na taarifa juu ya hatima ya mchezo huo