Waziri Mkuu aitaka Wizara kutoa taarifa haraka kuhusu Mechi ya Simba na Yanga pamoja na Viingilio vya Mashabiki

Huyu naye ni Mhuni na laghai Mkubwa. Alitwambia Mwendazake anapitia mafaili. Kweli akapitia mafaili jumla.
Mbona vitu vya kawaida hivyo unakuta mgonjwa mchana unamuacha anakula na kuongea vizuri ila usiku hali inachange na kufariki.
 
Waziri Mkuu wetu hopeless sana
 
Yanga HAKUNA walio kwenye swaumu? Au wanakula bila kujali mwezi mtukufu?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Watacheza pale Yanga ikikubali Kipigo.
 
Vilabu vinasikitishwa, TFF waliotoa taarifa pia wanasikitishwa, Wizara inasikitishwa, PM anasikitishwa. Hii ni Tanzania 😱 wanaficha kitu hawataki kusema ni nani hasa aliyetoa agizo la mechi kusogezwa mbele
 
Huyo Pm haaminiki tangia alipotutangazia Mwendazake yuko ofsin anapiga kazi kisawa sawakumbe yuko kwenye freezer

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Yeye na Rais wake wote walituongopea kuhusu Magufuli, hawaaminiki hawa waseme tu ukweli kilichofanya wabadili muda wa mechi.
 
Huyu naye ni Mhuni na laghai Mkubwa. Alitwambia Mwendazake anapitia mafaili. Kweli akapitia mafaili jumla.
Tangu aongee uongo msikitini nilimwona hana maana kabisa
 
Tumemuelewa PM , hakuna shaka tutakuwa wavumilivu. tunasubiri wizara ya habari itutangazie utaratibu mpya.
ahsante
 
Wasitufanye kuwa Watanzania wote ni mambumbumbu.Tatizo hapa siyo ratiba ya mechi kurudiwa wala siyo mambo ya viingilio vilivyokwisha kuchukuliwa.Tatizo hapa ni serikali kukiuka kanuni za FIFA kwa kuingilia mambo ya michezo kitu ambacho kitatugharimu kama Taifa.Hivi kama Taifa tumetenda dambi gani hadi tunakuwa tunapata viongozi wapumbavu mfulilizo namna hii?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…