Waziri Mkuu aitaka Wizara kutoa taarifa haraka kuhusu Mechi ya Simba na Yanga pamoja na Viingilio vya Mashabiki

Tff wanasikitika, Bodi ya Ligue inasikitika, Serikali nayo iliyosingiziwa kuamrisha mchezo kusogezwa mbele mtendaji mkuu wake naye anasema anataka taatifa toka kwa walioahirisha......yaani ni upuuzi mtu
 
Naiona FIFA ikikaribia.
 
Tumemuelewa PM , hakuna shaka tutakuwa wavumilivu. tunasubiri wizara ya habari itutangazie utaratibu mpya.
ahsante
Kichekesho. Wapangaji wa ratiba ni TFF kupitia bodi ya ligi na si wizara.
 
Kichekesho. Wapangaji wa ratiba ni TFF kupitia bodi ya ligi na si wizara.
sawa TFF wapange ratiba kisha watutangazie tukaangalie mechi, tena ikiwezekana mwishoni mwa mwezi huu trh 28/5/2021 au trh 29/5/2021, lengo tunataka tuwatie adabu Yanga

yanga waache kudemka.
 
TANZANIA RAHA SANA.....kuna siku mtasikia mtu KABAKWA kwa maelezo (AMRI) kutoka juu, hatari sana hii.....patamu ni hapo kwenye kuwafidia viingilio......
 
Ushauri hili tatizo ni bora tulipeleke FIFA watoe maamuzi hapa nchini hatuwezi wote tuna mahaba na hizi timu
Bora limalizwe hapa hapa kibongo bongo, likipelekwa FIFA Yanga anashushwa madaraja mawili
 
Wanaofunga Simba katika kikosi cha kwanza ni Aishi Manila, Mohamed Hussein na Shomari Kapombe tu. Wanaofunga Yanga Katika kikosi cha kwanza ni Farouk Shikalo, Kibwana Shomari,Adeyun, Mwamnyeto, Lamine Moro, Ninja, Feisal na Saido. Hapo utapata picha na hoja yako.
 
Usimuaminj mwana siasa.
Boss anamsukumia mfanyakazi wake kutoa tamko
 
Wapenzi wa mpira kama kweli wako serious lazima kampeni ifanywe hakuna mtu kwenda mpirani mechi hiyo na pesa zao wadai warudishiwe.
Yanga wanakomaa wapewe pointi zao 3. Ishatoka, hakuna mechi iliyoahirishwa hapo.
 
Mimi natarajia wafafanue sababu za kuahirisha kutoka saa 11 kwenda saa 1 na baadae tena kuahirisha kutoka hiyo saa 1 mpaka itakapotangazwa tena. Nini kilisababisha ahirisho la kwanza? Nini kilisababisha ahirisho la pili?

Hayo mengine ya viingilio yapo wazi sana. Vipi kuhusu hasara nyingine za muda na mali? Wanafidiaje? Hakuna wa kufutwa kazi/kujiuzuru?
 
Hapo kwenye hela watu wanashikwa tu masikio...

Utajuaje wa kumlipa ni nani ilihali tiketi ni kama zipe za daladala...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…