Waziri Mkuu aitaka Wizara kutoa taarifa haraka kuhusu Mechi ya Simba na Yanga pamoja na Viingilio vya Mashabiki

Wafanye wafanyavyo.Kiingilio kiwe burw tu Yaishe.Wakishindwa waturudishie Miamala yetu tu Kiroho safi kabisa.
 
Si Serikali hiihii ndio iliagiza TFF wasogeze mbele muda, ama ni aje?

Yanga iendeleze vagi tu wakizidi kuzingua hawa watu. Taratibu tu tutaelewa madhara ya kuchezacheza na kanuni zilizopo

Harafu tamko la PM halina cha maana na kaishia kuuliza maswali badala ya kutoa directives za maana. TFF inapaswa iache ijisort badala ya kuendelea kuiingilia kinyume kabisa na sheria za FIFA
 
Kifupi ela aziwezi kurudi ata iweje kilichobaki ni hasara tu iwepo mechi iwe bure itakapo pangwa tena iwe hasara kwote kwote japo mnyama ataumia zaidi.
 
Huyu PM huwa sina imani nae kabisa amejaa usanii mtupu,tangu kipindi kile anatuambia JPM yupo anachapa kazi kumbe,ameishakufa,nilichoka,
Serikali inajua kikichotokea,haiitaji rocket science kufahamu.
 
Kama aliagizwa na PM ambae ni bi Hindu SC lialia?
Bashungwa, Kitila, Nchemba, Mambe hao ni yanga wakereketwa. Kocha Nabi aliongea kuwa Yanga bado haipo vizuri na anahitaji muda.

Ukachezwa mchezo wa mizengwe ili timu isicheze mechi kwa kigezo cha kanuni.
 
Hadi sasaivi bado hawajatoa sababu za muhimu kua kwanini mechi iliailishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…