PostGE2025 Waziri Mkuu: Amani tuliyonayo ni matokeo ya kuheshimiana na kuzingatia misingi ya haki

PostGE2025 Waziri Mkuu: Amani tuliyonayo ni matokeo ya kuheshimiana na kuzingatia misingi ya haki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
"Amani tuliyonayo ni matokeo ya kuheshimiana, kuzingatia misingi ya haki, wajibu na kila mmoja wetu kutimiza wajibu wake." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu

Amesema hayo Januari 27, 2026 katika Bunge la Kumi na Tatu, Mkutano wa Pili, Kikao cha Kwanza, wakati akiwasilisha hoja ya Serikali ili Bunge lipokee na kujadili Hotuba ya Rais Samia aliyoitoa wakati wa kufungua Bunge la 13 Novemba 14, 2025 jijini Dodoma.

 
Ni vyema kama ina maanisha umuhimu wa Haki unatambulika. Ingekuwa vyema kama wale ambao hawajetendewa haki watapewa haki zao zilizoporwa.

Amandla...
 
Haya sasa itendeni hiyo haki ionekane imetendeka
 
Back
Top Bottom