Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Magari yenyewe ya Halmashauri mengi yao yapo taabani hata taili wanashindwa kununua maana hawana source of income kwani vyanzo vyote vya mapato vimeporwa na serikali kuu.sijaona logic haswa kwamba hii shule kuwa na bahati hiyo ikiwa kuna shule njia ya nearby ruaha mbuyuni wanafunzi wanasubiria magari ya mizigo kwnd na kurudi ambayo ni hatari sn haswa kwny kurudi manake muda mwngine mpk saa 1 wapo njiani
Angetakiwa atoe maagizo kwa wakurugenzi wote nchi nzima wapeleke Magari kwenye Shule za sekondari zilizoko kwenye halmashauri zilizoko chini yao.Kika shule inatakiwa kuwa na gari. Iwe hivyo yaani.
Hahaha Unamaanisha yale mavi _8Kwenye mashule siyo mashine, Sorry.
Kweli kabisaAngetakiwa atoe maagizo kwa wakurugenzi wote nchi nzima wapeleke Magari kwenye Shule za sekondari zilizoko kwenye halmashauri zilizoko chini yao.
Shule zote zina Nahitaji sawa. Angeanza na yale aliyowapokonya wakurugenzi, atoe maelekezo yapelekwe kwenye Mashine. Nakumbuka Kuna gari la Ilemela, Geita, chato, kahama sijui nk nk.
Eehe, hayo hayo!! Kwani walimu hawastahili kupanda V8?!! Si ni watumishi wa umma hawa, tena walipa kodi wazuri tu!!! Wawape bwana!!!Hahaha Unamaanisha yale mavi _8
Unajiita taarifa sahihi huku huna taarifa sahihi!Angetakiwa atoe maagizo kwa wakurugenzi wote nchi nzima wapeleke Magari kwenye Shule za sekondari zilizoko kwenye halmashauri zilizoko chini yao.
Shule zote zina Nahitaji sawa. Angeanza na yale aliyowapokonya wakurugenzi, atoe maelekezo yapelekwe kwenye Mashule. Nakumbuka Kuna gari la Ilemela, Geita, chato, kahama sijui nk nk.
Kwahiyo siyo sahihi kwamba PM amemwagiza mkurugenzi apeleke gari kwenye hiyo Shule? Siyo sahihi kwamba matatizo ya Shule zetu za sekondari yanafanana?Unajiita taarifa sahihi huku huna taarifa sahihi!
Wala sio hicho kwasababu. Angalia quotation ya ulichoandika halafu uniambie kama una taarifa sahihi;Kwahiyo siyo sahihi kwamba PM amemwagiza mkurugenzi apeleke gari kwenye hiyo Shule? Siyo sahihi kwamba matatizo ya Shule zetu za sekondari yanafanana? Na siyo sahihi vile vile kwamba Kuna wakurugenzi wameamriwa warudishe Magari Serikalini na wachunguzwe?
Taarifa sahihi uliyokuwa nayo wewe ni ipi?
cyo maombi ni kitendo cha kujitoa mshahara na marupurupu ya mwezi mmoja kununua gari la hata 25m kusaidia shule za Jimbo lakeWabunge wote leteni maombi ya nagari ya shule zilizoko majimbo ili PM awape order DED mpate magari .......
Duh huyo Limia bado ni mkuu wa shule hapo nilimuacha hapo tangu 2008Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amempa siku mbili Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoni Ruvuma, Gaspar Balyomi, awe amepeleka gari katika shule ya Sekondari Tunduru kwa ajili ya kuwahudumia walimu na wanafunzi shuleni hapo.
Ametoa agizo hilo Januari 2, 2021, wakati akikagua ukarabati wa shule ya sekondari Tunduru, baada ya mbunge wa Tunduru Kusini, Daimu Mpakate, kumueleza kuwa shule hiyo inakabiliwa na changamoto ya usafiri.
"Mkurungezi Jumatatu lete gari moja hapa likiwa limeandikwa Shule ya Sekondari Tunduru, lije kutoa huduma kwa watoto na walimu wetu, hii shule ina wanafunzi zaidi ya 600 na walimu 28 lazima iwe na usafiri ambao hata mtoto akiugua afikishwe hospitali", amesisitiza Waziri Mkuu.
Kuhusu ukarabati uliofanyika shuleni hapo, Waziri Mkuu, ameridhishwa na ametumia fursa hiyo kumpomgeza mkuu wa shule, Mwalimu Amini Limia, pamoja na kamati ya ujenzi kwa kazi nzuri ya usimamizi waliyoifanya.
Pia, Waziri Mkuu ametumia fursa hiyo kuwasihi wanafunzi wazingatie sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa shuleni hapo ili waweze kuishi vizuri. "Someni hasa sasa hivi ni wakati wa likizo mpo hapa mnaendelea na masomo hatutarajii mpate daraja la nne wala sifuri, kila mmoja ahakikishe anasoma na kupata daraja litakalomfikisha chuo kikuu"
Mkuu, halmashauri zina shule nyingi - kwa wakati huu si sahihi kila kata kuwa na gari la shuleAngetakiwa atoe maagizo kwa wakurugenzi wote nchi nzima wapeleke Magari kwenye Shule za sekondari zilizoko kwenye halmashauri zilizoko chini yao.
Shule zote zina Nahitaji sawa. Angeanza na yale aliyowapokonya wakurugenzi, atoe maelekezo yapelekwe kwenye shule. Nakumbuka Kuna gari la Ilemela, Geita, chato, kahama sijui nk nk.