Waziri Mkuu amtaka Mkurugenzi kuleta gari kwa ajili ya Sekondari ya Tunduru

Waziri Mkuu amtaka Mkurugenzi kuleta gari kwa ajili ya Sekondari ya Tunduru

Mh. Mbunge Daimu Mpakate sekondari Zako za Jimbo la Tunduru kusini hawana gari,hujawahi omba,unamuombea mh Hassan kungu wa kaskazin.alafu unajua fika hali ya halmashuri hawana magari ,hivi hapo hospital kuna gari ya wagonjwa mboni mnampa mateso DED .wapi atapata ya kupeleka Tunduru sec
 
Angetakiwa atoe maagizo kwa wakurugenzi wote nchi nzima wapeleke Magari kwenye Shule za sekondari zilizoko kwenye halmashauri zilizoko chini yao.

Shule zote zina Nahitaji sawa. Angeanza na yale aliyowapokonya wakurugenzi, atoe maelekezo yapelekwe kwenye shule. Nakumbuka Kuna gari la Ilemela, Geita, chato, kahama sijui nk nk.
Hii nadhani ni sahihi,hasa kwa shule za kitaifa na kongwe.Siamini kama Tunduru haina gari mpaka leo.
 
Back
Top Bottom