Waziri Mkuu anasema hakuna haja ya kuhesabu watu waliouawa, tuhesabu vitu vilivyoharibiwa

Waziri Mkuu anasema hakuna haja ya kuhesabu watu waliouawa, tuhesabu vitu vilivyoharibiwa

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,994
Reaction score
24,902
Imenisikitisha sana kuisikia clip ile inayomuenesha akisema hakuna haja ya kuhesabu watu waliouwawa 29 October, kwani kufanya hivyo ni kuwahesabu watu kama vile tunahesabu vitu. Nasema inasikitisha saaana kusikia haya kutoka kwa mtu ambaye alipaswa kuwalinda na kuwaheshimu watanzania.
 
Eti anaogopa wakihesabiwa itabidi kuwalipa. Hebu fikiria mtu anayeweza namna hii eti ndiyo waziri mkuu...

IMG-20251202-WA0023.jpg
 
Back
Top Bottom