Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mwenyewe niliajiriwa baada ya miezi 8 nikaacha maana niliona ni ujinga mtupu hakuna mwelekeo na utapelitapeli umejaaHili eneo la ajira za Serikali linachangia Wizi wa fedha na Mali za nchi Kwa asilimia 80.
Kwanza ajira zimegubikwa na ujanja ujanja,udugu,urafiki,rushwa na a kila Aina ya upendeleo dhambi hiyo inaendelea mpaka kwenye post na kupandisha vyeo...
Ukweli kwa PM tulipigwa huyu mzee huwa simwelewi kabisa MUNGU anisamehe🤣🤣🤣kulikuwa na haja gani ya kutoa taarifa? wanapenda sifa.
Huyu mzee sijawahi kuona umuhimu wake.Ukweli kwa PM tulipigwa huyu mzee huwa simwelewi kabisa MUNGU anisamehe
Yaani bora hata DC ana-impact lakini siyo huyuHuyu mzee sijawahi kuona umuhimu wake.
Wivu 😆😆Hii...ni taarifa mbichi kwa wafanyakazi,taarfa ambayo imekaa kisiasa.
Taarfa iliyoiva haiwezi kuwa ya namna hii.hii taarfa haina Tofauti na ile ya utatuzi wa ongezeko la bei ya mafuta.
Hapa ni Siasa, siasa! siasa!!
Akili ndogo kuongoza nchi ndyo matokeo yake.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
WAZIRI MKUU APOKEA TAARIFA YA NYONGEZA YA MISHAHARA.....
Nimecheka balaa ,,,Sasa makona yote hayo ya Nini bongo ina vituko sanaNi taarifa ya kipuuzi, haina maana wala mantiki, ni kuwachezea akili wafanyakazi. It is pure poor government propaganda.
Wafanyakazi wanataka nyongeza ya mishahara, hizo blah blah wawapelekee wake zao.
tena!wafanyeje sasa.nadhani wa kulaumiwa ni wawakilishi wao.wakiandamana watapigwa risasi.mmesahau ya lissu wala hata hakuandamana lkn maneno yake tu yalitaka kughalimu maisha yake.suluhisho ya haya yote ni katiba tu mfano mzuri kenya.Mtadanganywa mpaka mpate akili
Mtoto wa mama kila siku unadekezwa huwezi kutuelewa wanaume.Ukweli kwa PM tulipigwa huyu mzee huwa simwelewi kabisa MUNGU anisamehe
yaani tunazungushanaaaaa mara jambo lenu lipo, ooh hesabu zinaendelea, oooh kikao kinafanyika, mara oooh waziri mkuu kapokea hesabu, tena ooh katelefoni atamkabidhi Sam mapendekezo, ooh Sam atawatangazia yaani kama pasi za NETBALL....... wasi wasi tu mwanzo mwishoHii...ni taarifa mbichi kwa wafanyakazi,taarfa ambayo imekaa kisiasa.
Taarfa iliyoiva haiwezi kuwa ya namna hii.hii taarfa haina Tofauti na ile ya utatuzi wa ongezeko la bei ya mafuta.
Hapa ni Siasa, siasa! siasa!!