Waziri Mkuu atengua uamuzi wa Bunge, tamasha la Nyege Nyege Kufanyika Uganda, Jinja

SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2007
Posts
8,189
Reaction score
7,853
Waziri Mkuu wa Uganda ametengua Uamuzi wa Bunge la Uganda kusitisha Tamasha la Nyege Nyege Uganda, Jinja.

Waziri Mkuu Rabina Nabbaya ameruhusu Tamasha hilo lifanyike -Sababu moja kuu ni kuwa Wageni kutoka nje ya Nchi tayari wameshalipia tiketi zao na hivyo basi Tamasha liendelee.
Wabongo wamo?

My take:Maadili yanapungua barani mwetu!

Source: Allafrica.com
 
Hakuna video mkuu
Kenzy,
Kwa ukweli sikujua hili Tamasha huwa linafanyika huko. Najaribu kutafuta(kideo)nione yanayojiri huko.
Mke wangu yumo safarini na hivyo naogopa hata kuona hiyo Video.
 
Waziri Mkuu wa Uganda ametengua Uamuzi wa Bunge la Uganda kusitisha Tamasha la Nyege Nyege Uganda, Jinja.
Taarifa hii inapatikana hapa.

Uamuzi sahihi

Unazuiaje “nyegenyege festival” harafu unaacha macasino wazi au wale wanaojipanga barabarani wajipange freely bila bugudha?

Ufuska utapigwa tu kama mtu kaamua kufanya
 
Kenzy,
Kwa ukweli sikujua hili Tamasha huwa linafanyika huko. Najaribu kutafuta(kideo)nione yanayojiri huko.
Mke wangu yumo safarini na hivyo naogopa hata kuona hiyo Video.
 
Waziri Mkuu wa Uganda ametengua Uamuzi wa Bunge la Uganda kusitisha Tamasha la Nyege Nyege Uganda, Jinja.
Taarifa hii inapatikana hapa.

Waziri Mkuu Rabina Nabbaya ameruhusu Tamasha hilo lifanyike -Sababu moja kuu ni kuwa Wageni kutoka nje ya Nchi tayari wameshalipia tiketi zao na hivyo basi Tamasha liendelee.
Wabongo wamo?

My take:Maadili yanapungua barani mwetu!

Source: Allafrica.com
What is Nyege Nyege?
 
Kuna ambao wanadai ni Tamasha la Kitamaduni🙄
[emoji848][emoji2089]
Halina tofauti na Samba ya Brazil na mdhamini mkuu ni pombe kali maarufu ya Waragi, ambayo ni sawa na Konyagi huku kwetu

Ni tamasha linalohusisha vilevi na watu wa aina mbalimbali.. Haifai mtu mwenye mke au mume kwenda peke yake
Some-revelers-at-a-previous-Nyege-Nyege-Festival.-Courtesy-Photo.jpg
Girls-dancing-at-Nyege-Nyege.jpg
Nyege-Nyege-1-3.jpg
 
Mdogo mdogo Samba Festivals inahamia Africa
At last. Wazungu na wengine wamekuwa wanafaidi na kufaidika na Utamaduni wa Mwafrika. Kama lile Tamasha lililofanyika hivi karibuni Uingereza-Jina kapuni.
 
Niliwahi kuhudhuria moja 2015.. Huko watu huenda kuvuna magonjwa ya zinaa. STD's iko juu sana Uganda kwakuwa wanawake wa kule hawatumii maji kujiswafi
Haha nafikiri huwa wanajisahau na kufikiri Katerero inasafisha

🙉
 
Back
Top Bottom