Waziri Mkuu atengua uamuzi wa Bunge, tamasha la Nyege Nyege Kufanyika Uganda, Jinja

Waziri Mkuu atengua uamuzi wa Bunge, tamasha la Nyege Nyege Kufanyika Uganda, Jinja

Kama wanawake wa kanda ya ziwa...hawajui kabisa kujiswafi na ndio maana gono na kaswende ni nyingi sana hasa mikoa ya geita na shinyanga
Mkuu kujisafisha na maji hakuondoi gono wala kaswende.
Huko Ulaya kwa Wazungu sasa kuna super gonorrhea, pamoja na kujidai kwao ni wasafi.

Nitakupinga kwa hilo kwani unaonyesha uhasama kwa Wanawake wa kanda uliotaja.

Tuwe waKweli.
 
Yaani Uganda kwa tabia zao hilo jambo ni la kawaida saana, umalaya upo kwenye damu hiyi nchi.

Ukienda kampala utashangaa namna wanawake wanavyovaa na hapo unakuta mtu yupo fresh tuu wala hayupo kwenye madambwe yao hayo....
 
Back
Top Bottom