SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Fuatilia mnyororo. Ni Tamasha la kutiana Nyege ati???Linakuwa linahusu nini kwani
Hakuna video mkuuFuatilia mnyororo. Ni Tamasha la kutiana Nyege ati???
Nyege nyegeLinakuwa linahusu nini kwani
Kenzy,Hakuna video mkuu
Uamuzi sahihiWaziri Mkuu wa Uganda ametengua Uamuzi wa Bunge la Uganda kusitisha Tamasha la Nyege Nyege Uganda, Jinja.
Taarifa hii inapatikana hapa.
Waziri Mkuu Rabina Nabbaya ameruhusu Tamasha hilo lifanyike -Sababu moja kuu ni kuwa Wageni kutoka nje ya Nchi tayari wameshalipia tiketi zao na hivyo basi Tamasha liendelee.
Wabongo wamo?
My take:Maadili yanapungua barani mwetu!
Source: Allafrica.com
Kenzy,
Kwa ukweli sikujua hili Tamasha huwa linafanyika huko. Najaribu kutafuta(kideo)nione yanayojiri huko.
Mke wangu yumo safarini na hivyo naogopa hata kuona hiyo Video.
Linakuwa linahusu nini kwani
What is Nyege Nyege?Waziri Mkuu wa Uganda ametengua Uamuzi wa Bunge la Uganda kusitisha Tamasha la Nyege Nyege Uganda, Jinja.
Taarifa hii inapatikana hapa.
Waziri Mkuu Rabina Nabbaya ameruhusu Tamasha hilo lifanyike -Sababu moja kuu ni kuwa Wageni kutoka nje ya Nchi tayari wameshalipia tiketi zao na hivyo basi Tamasha liendelee.
Wabongo wamo?
My take:Maadili yanapungua barani mwetu!
Source: Allafrica.com
Halina tofauti na Samba ya Brazil na mdhamini mkuu ni pombe kali maarufu ya Waragi, ambayo ni sawa na Konyagi huku kwetuKuna ambao wanadai ni Tamasha la Kitamaduni🙄
[emoji848][emoji2089]
Kwa Taarifa ninazoona ni muziki ulioambatana na Gitaa la Umeme-Madai.What is Nyege Nyege?
Sijui kwa nini I am suprised. Niliwahi safiri mitaa hiyo lakini sikuwahi kusikia.Halina tofauti na Samba ya Brazil na mdhamini mkuu ni pombe kali maarufu ya Waragi, ambayo ni sawa na Konyagi huku kwetu
Ni tamasha linalohusisha vilevi na watu wa aina mbalimbali.. Haifai mtu mwenye mke au mume kwenda peke yakeView attachment 2354063View attachment 2354064View attachment 2354065
Mdogo mdogo Samba Festivals inahamia AfricaKwa Taarifa ninazoona ni muziki ulioambatana na Gitaa la Umeme-Madai.
Ki asilia ni Tamasha la kuchochea Uasherati. Sex Party
Niliwahi kuhudhuria moja 2015.. Huko watu huenda kuvuna magonjwa ya zinaa. STD's iko juu sana Uganda kwakuwa wanawake wa kule hawatumii maji kujiswafiSijui kwa nini I am suprised. Niliwahi safiri mitaa hiyo lakini sikuwahi kusikia.
Ahsante kwa Taarifa M.Jr na Picha.
At last. Wazungu na wengine wamekuwa wanafaidi na kufaidika na Utamaduni wa Mwafrika. Kama lile Tamasha lililofanyika hivi karibuni Uingereza-Jina kapuni.Mdogo mdogo Samba Festivals inahamia Africa
Mkuu umenielewa lakini?At last. Wazungu na wengine wamekuwa wanafaidi na kufaidika na Utamaduni wa Mwafrika. Kama lile Tamasha lililofanyika hivi karibuni Uingereza-Jina kapuni.
Haha nafikiri huwa wanajisahau na kufikiri Katerero inasafishaNiliwahi kuhudhuria moja 2015.. Huko watu huenda kuvuna magonjwa ya zinaa. STD's iko juu sana Uganda kwakuwa wanawake wa kule hawatumii maji kujiswafi