Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Kama wanawake wa kanda ya ziwa...hawajui kabisa kujiswafi na ndio maana gono na kaswende ni nyingi sana hasa mikoa ya geita na shinyangaNiliwahi kuhudhuria moja 2015.. Huko watu huenda kuvuna magonjwa ya zinaa. STD's iko juu sana Uganda kwakuwa wanawake wa kule hawatumii maji kujiswafi
Inawezekana nimekurupuka. Mbele kwa mbele. Nielemishe Mkuu.Mkuu umenielewa lakini?
Mkuu kujisafisha na maji hakuondoi gono wala kaswende.Kama wanawake wa kanda ya ziwa...hawajui kabisa kujiswafi na ndio maana gono na kaswende ni nyingi sana hasa mikoa ya geita na shinyanga
Sio kujidlsafisha tu, hata kunyoa ni shida sana Uganda yaaniKama wanawake wa kanda ya ziwa...hawajui kabisa kujiswafi na ndio maana gono na kaswende ni nyingi sana hasa mikoa ya geita na shinyanga
Wazungu Je?Sio kujidlsafisha tu, hata kunyoa ni shida sana Uganda yaani
HahahaHaha nafikiri huwa wanajisahau na kufikiri Katerero inasafisha
[emoji86]