Waziri Mkuu atimiza ahadi ya kumpatia Kitimwendo Helena Joseph

Waziri Mkuu atimiza ahadi ya kumpatia Kitimwendo Helena Joseph

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
WAZIRI MKUU ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA KITIMWENDO HELENA JOSEPH

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo (Aprili 20, 2026) amemkabidhi kitimwendo Helena Joseph Mwandu (mwenye mahitaji maalum), Ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.

Waziri Mkuu aliahidi kumpatia Helena kiti hicho katika mazungumzo waliyoyafanya baada ya mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Msanga wilayani Chamwino Dodoma, jana (Aprili 19, 2026).

Akizungumza baada ya kupatiwa kiti hicho, Helena amemshukuru Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu kwa kumpatia kitimwendo hicho kwani kitamsaidia katika shughuli zake.

IMG-20260421-WA0050.jpg
 
Hicho kiti sio chakutolewa na level ya waziri mkuu, ushenzi tuu kutafuta cheep politics
 
Back
Top Bottom