Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Nadhani ili suala la mikutano ya kisiasa kuwekewa utaratibu wa kiongozi alitepata ridhaa eneo fulani afanye siasa au mikutano eneo lake SI SAWA.
nadhani tulitakiwa kabsa kutambua umuhimu wa mikutano hiyo kwa nchi changa kidemokrasia.
Binafsi naona ilo tamko la rais lililenga kubinya ukuaji wa demokrasia mimi nishauri kwa kuwa yeye anatenda vyema na anajiamini aruhusu watu tumseme yeye ni mwanasiasa kwa nini anawafunga midomo wenzake ilihali anatenda mema?
tafadhali sanaa Mh rais turuhusu hata sisi tusio na majimbo tukuseme,au tuuchambue utendaji wa serikali yako.
Sent using Jamii Forums mobile app