Uwazitu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 1,418
- 1,401
Ni Sheria namba ngapi ya Vyama vya Siasa inayoweka mipaka ya shughuli za kisiasa?
Kwenye maeneo ambayo chama hakikupata ushindi, hakitakiwi kujijenga na hatimaye kupata ushindi?
Je, Mwenyekiti wa Chama Taifa Kama siyo Mbunge, anatafutaje Wanachama kwenye maeneo ambayo chama chake hakina uwakilishi?
Mh. Waziri Mkuu angesema " Rais alizuia MIKUTANO ya kisiasa ili Watu wafanye shughuli za maendeleo, lakini hakuna Sheria inayoweka mipaka na muda wa kufanya Siasa hapa Tanzania.