nilikwisha rekodi hiyo kitu mkuuHuyu nilishamdharau tangu ile siku alipoulizwa 'ni lini serikali itaongeza mishahara kwa watumishi wa umma ambao hali zao ni ngumu'?
Akajibu 'Serikali itaongeza mshahara kimyakimya ili kuepusha wafanyabiashara kuongeza bei bidhaa'
Mimi ni mwenyeji wa Lindi ila huyu waziri mkuu kapwaya kuliko mawaziri wakuu wote waliomtangulia
Niliboeka sana na jibu lile la kiwendawazimu. Nikasema serikali hii inayopenda sana hata wakiongeza ile annual increment ambayo ipo kisheria(lazima) watainadi kwenye TV na magazetini wiki nzima, sembufe nyongeza ya mishahara.nilikwisha rekodi hiyo kitu mkuu
The AXIS OF EVIL ........... Makonda hawezi kuwa peke yake ....!!Taarifa zinaonyesha kwamba kwenye ile listi ya Marekani na huyu yumo , nadhani ni kutokana na majibu duni kama haya .
Mbona wanasema uongo?Siasa ni wakati wa kampeni pekee?Uhuru wa Tume ya Uchaguzi ni kuhusu sheria iliyoiunda au matendo?
Viongozi wa awamu hii ni shida.Hizi sheria mpya za kufanya siasa katika maeneo walikochaguliwa madiwani/wabunge ilitungwa lini,IPO kifungu gani cha sheria zetu?
Je,maeneo ambako wapinzani hawana madiwani au wabunge watafikiwaje ili wawachague?Muda wa kampeni za Uchaguzi Mkuu unaweza kutumika kuimarisha vyama katika Kata/Majimbo husika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachompa wasiwasi ni kwamba anajua hakushinda kihalali! Lowasa alishinda ila kwa sababu ya goli la mkono ndo maana yuko Magogoni. Hili lazima limtisheNiliboeka sana na jibu lile la kiwendawazimu. Nikasema serikali hii inayopenda sana hata wakiongeza ile annual increment ambayo ipo kisheria(lazima) watainadi kwenye TV na magazetini wiki nzima, sembufe nyongeza ya mishahara.
Too shit