Huyu nilishamdharau tangu ile siku alipoulizwa 'ni lini serikali itaongeza mishahara kwa watumishi wa umma ambao hali zao ni ngumu'?
Akajibu 'Serikali itaongeza mshahara kimyakimya ili kuepusha wafanyabiashara kuongeza bei bidhaa'
Mimi ni mwenyeji wa Lindi ila huyu waziri mkuu kapwaya kuliko mawaziri wakuu wote waliomtangulia
Mkuu Waziri mkuu hana uwezo wa kuruhusu mikutano kwa kuwa aliyezuia si yeye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali gumu sana lile.Ni kiongozi ninae muamini sana na mwenye logic Ila majibu ya jana kuhusu tume huru yameshusha sana haiba yako. Je, Majaliwa umekuwaje wewe!? Simply majibu ya hovyo hovyo kabisa.
Kwa vile hakujibu kama ulivyotaka! Busara ni pale mtu kutouliza majibuNi kiongozi ninae muamini sana na mwenye logic Ila majibu ya jana kuhusu tume huru yameshusha sana haiba yako. Je, Majaliwa umekuwaje wewe!? Simply majibu ya hovyo hovyo kabisa.
Ni kiongozi mzuri sana kama angekuwa huru kimaamuzi pia bila kumtegemea mwingine, kwa hali ilivyo ni kumuonea tu kutegemea angejibu tofauti na alivyojibu maana ndiyo msimamo wa mkuu wake
Swali la hovyo linaloulizwa na mtu wa hovyo dawa yake ni kumjibu kihovyo. Au wewe unasemaje? Mbowe ni mtu wa hovyo kabisa na ndio maana vijana walimprovoke pale nae akapanic na kubweka kama paka.Ni kiongozi ninae muamini sana na mwenye logic Ila majibu ya jana kuhusu tume huru yameshusha sana haiba yako. Je, Majaliwa umekuwaje wewe!? Simply majibu ya hovyo hovyo kabisa.
Katika reign hii, ulitegemea majibu gani?Ni kiongozi ninae muamini sana na mwenye logic Ila majibu ya jana kuhusu tume huru yameshusha sana haiba yako. Je, Majaliwa umekuwaje wewe!? Simply majibu ya hovyo hovyo kabisa.
Ni kiongozi mzuri sana kama angekuwa huru kimaamuzi pia bila kumtegemea mwingine, kwa hali ilivyo ni kumuonea tu kutegemea angejibu tofauti na alivyojibu maana ndiyo msimamo wa mkuu wake