PostGE2025 Waziri mkuu Dkt. Mwigulu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuiwa hati yake

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameelekeza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na kuzuia hati ya kusafiria ya mkandarasi anayejenga mradi wa Kituo cha ukaguzi cha Pamoja kilichopo Muhalala mkoani Singida.

IMG-20251121-WA0023.jpg
IMG-20251121-WA0028.jpg

Dkt. Mwigulu amesema kuwa mkandarasi huyo aliaminiwa na Serikali kwa kupewa ujenzi wa mradi huo wa kimkakati uliosimama kwa zaidi ya miaka nane tangu mwaka 2016. Mradi huo unaojengwa na kampuni ya Impresa di Costruzioni Ing. E. Mantovani S.p.A ulipaswa kukamilika mwaka 2018.

Ametoa agizo hilo leo Ijumaa tarehe 21 Novemba, 2025 wakati alipokagua mradi huo katika ziara yake ya kikazi mkoani Singida ambapo atakagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi.

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amesema kuwa jitihada zimefanyika za kuona mradi huo unaendelea lakini mkandarasi amekuwa akileta ugumu katika utekelezaji “Mkandarasi huyu alitangazwa amefilisika na hawezi kuendelea na mradi na alielekezwa ailipe fidia Tanzania kwasababu ameicheleweshea mradi”

“Naelekeza, Kamishna wa uhamiaji kamata hati yake ya kusafiria, asitoke nje ya nchi mpaka jambo hili liishe, hii ni hujuma ya waziwazi, hii ni dharau ya waziwazi anaifanyia nchi yetu, Jeshi la Polisi mtafuteni mkandarasi huyu popote alipo, tumemuajiri, tunamlipa lakini anajiamulia Kama aendelee na kazi au asiendelee, huyu ni mhalifu akamatwe mpaka jambo hili liishe” amesisitiza Dkt. Mwigulu

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amesema kuwa wakandarasi wa nje wanapaswa kufahamu kuwa wanapokuja kufanya kazi hapa nchini, watambue Tanzania imewaajiri na wasijione kama wao ni mabosi.

“Ninaelekeza wale washirika wetu katika mradi huu, ndani ya mwezi huu jambo hili liwe limekwisha watuambie wanaendelea ama hawaendelei, na Kama hawataendelea Waziri wa Ujenzi uwapatie wakandarasi wadogo wamalizie kazi hii, hii nchi ni yetu na tunawajibu wa kuilinda, na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia ametuambia hatuna mjomba, tuna mama tu anaitwa Tanzania”
IMG-20251121-WA0027.jpg
IMG-20251121-WA0029.jpg

Aidha, Dkt. Mwigulu ameiagiza Wizara ya Ujenzi ihakikishe inausimamia mradi huo ili ukamilike na itumie wakandarasi wazawa, “Ninawahakikishia mradi huu tutaujenga na kuukamilisha”

Katika hatua nyingine, Dkt. Mwigulu amemuagiza Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Abdullah Ulega kuwaelekeza wakandarasi wote kuhakikisha kuwa kila aliyepewa kazi apime kama kazi aliyoifanya inaendana na thamani ya fedha alizopokea.

“Haya ndiyo maelekezo ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia kwamba kila mradi, thamani ya fedha iendane na kazi ambayo imeshafanyika, sisi wasaidizi wake tutafuatilia maelekezo haya, hatuwezi ruhusu watu wachezee nchi yetu”

Kadhalika, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametoa wito kwa vijana wa Kitanzania kuilinda Tanzania, ili iendelee kuwa na maendeleo “Mungu ametupa nchi nzuri, nchi hii si mali ya viongozi, nchi hii sio mali ya vyama vya siasa, nchi hii ni yetu sote”

Kwa Upande wake, Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema kuwa mradi huo ni mradi wa kielelezo na unafaida nyingi sana ambazo zitalisaidia Taifa ikiwemo kuokoa fedha nyingi zinazowekwa kwenye barabara.

“Vilevile eneo hili litakuwa ni eneo la kibiashara kwasababu watu watapata nafasi ya kufanya biashara na wananchi kutengeneza uchumi wao, sisi Wizara ya ujenzi tupo tayari kujenga ili mradi hui urejee” amesisitiza Waziri Ulega.
IMG-20251121-WA0027(1).jpg
 
Attachments

  • IMG-20251121-WA0024.jpg
    IMG-20251121-WA0024.jpg
    191.4 KB · Views: 39
  • IMG-20251121-WA0025.jpg
    IMG-20251121-WA0025.jpg
    177.6 KB · Views: 38
  • IMG-20251121-WA0026.jpg
    IMG-20251121-WA0026.jpg
    177.7 KB · Views: 36
Huyu inatakiwa unatafuta gobore lako lililo tengenezwa kienyeji, unamvizia kwenye angle nzuri; halafu unamtungua.

NB: namaanisha huyo mkandarasi.
 
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗔𝗚𝗜𝗭𝗔 𝗠𝗞𝗔𝗡𝗗𝗔𝗥𝗔𝗦𝗜 𝗞𝗨𝗞𝗔𝗠𝗔𝗧𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗭𝗨𝗜𝗔 𝗛𝗔𝗧𝗜 𝗬𝗔𝗞𝗘

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameelekeza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na kuzuia hati ya kusafiria ya mkandarasi anayejenga mradi wa Kituo cha ukaguzi cha Pamoja kilichopo Muhalala mkoani Singida.

Dkt. Mwigulu amesema kuwa mkandarasi huyo aliaminiwa na Serikali kwa kupewa ujenzi wa mradi huo wa kimkakati uliosimama kwa zaidi ya miaka nane tangu mwaka 2016. Mradi huo unaojengwa na kampuni ya Impresa di Costruzioni Ing. E. Mantovani S.p.A ulipaswa kukamilika mwaka 2018.

Ametoa agizo hilo leo Ijumaa tarehe 21 Novemba, 2025 wakati alipokagua mradi huo katika ziara yake ya kikazi mkoani Singida ambapo atakagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi.

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amesema kuwa jitihada zimefanyika za kuona mradi huo unaendelea lakini mkandarasi amekuwa akileta ugumu katika utekelezaji “Mkandarasi huyu alitangazwa amefilisika na hawezi kuendelea na mradi na alielekezwa ailipe fidia Tanzania kwasababu ameicheleweshea mradi”

“Naelekeza, Kamishna wa uhamiaji kamata hati yake ya kusafiria, asitoke nje ya nchi mpaka jambo hili liishe, hii ni hujuma ya waziwazi, hii ni dharau ya waziwazi anaifanyia nchi yetu, Jeshi la Polisi mtafuteni mkandarasi huyu popote alipo, tumemuajiri, tunamlipa lakini anajiamulia Kama aendelee na kazi au asiendelee, huyu ni mhalifu akamatwe mpaka jambo hili liishe” amesisitiza Dkt. Mwigulu

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amesema kuwa wakandarasi wa nje wanapaswa kufahamu kuwa wanapokuja kufanya kazi hapa nchini, watambue Tanzania imewaajiri na wasijione kama wao ni mabosi.

“Ninaelekeza wale washirika wetu katika mradi huu, ndani ya mwezi huu jambo hili liwe limekwisha watuambie wanaendelea ama hawaendelei, na Kama hawataendelea Waziri wa Ujenzi uwapatie wakandarasi wadogo wamalizie kazi hii, hii nchi ni yetu na tunawajibu wa kuilinda, na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia ametuambia hatuna mjomba, tuna mama tu anaitwa Tanzania”

Aidha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ameiagiza Wizara ya Ujenzi ihakikishe inausimamia mradi huo ili ukamilike na itumie wakandarasi wazawa , “Ninawahakikishia mradi huu tutaujenga na kuukamilisha”

Katika hatua nyingine, Dkt. Mwigulu amemuagiza Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Abdullah Ulega kuwaelekeza wakandarasi wote kuhakikisha kuwa kila aliyepewa kazi apime kama kazi aliyoifanya inaendana na thamani ya fedha alizopokea.

“Haya ndiyo maelekezo ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia kwamba kila mradi, thamani ya fedha iendane na kazi ambayo imeshafanyika, sisi wasaidizi wake tutafuatilia maelekezo haya, hatuwezi ruhusu watu wachezee nchi yetu”

Kadhalika, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametoa wito kwa vijana wa Kitanzania kuilinda Tanzania, ili iendelee kuwa na maendeleo “Mungu ametupa nchi nzuri, nchi hii si mali ya viongozi, nchi hii sio mali ya vyama vya siasa, nchi hii ni yetu sote”

Kwa Upande wake, Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema kuwa mradi huo ni mradi wa kielelezo na unafaida nyingi sana ambazo zitalisaidia Taifa ikiwemo kuokoa fedha nyingi zinazowekwa kwenye barabara.

“Vilevile eneo hili litakuwa ni eneo la kibiashara kwasababu watu watapata nafasi ya kufanya biashara na wananchi kutengeneza uchumi wao, sisi Wizara ya ujenzi tupo tayari kujenga ili mradi hui urejee” amesisitiza Waziri UlegaView attachment 3505268View attachment 3505269View attachment 3505270View attachment 3505271View attachment 3505272
Mwiguru tangu 2016 anapita hapo kila mwaka kwenda kwao na alikuwa anaona pametelekezwa hata baada ya kuwa waziri wa fedha hakufanya lolote. Sijui huko kwenye baraza la mawaziri wanajadiri vitu gani. Hivi tunaweza kuleta maendeleo kweli kwa kusubiri vyeo? Maana yake mfumo wetu wa utawala ni wa hovyo sana hakuna uwajibikaji wa pamoja. Toka 2016 ndo anamuona leo 2025 huyo mkandarasi? Majengo yameshachakaa bila kukamilika.
 
Hivi ukiwa mwanasiasa akili ndio akili zinakuwa mgando hivi,yani kwahali iliyopo kaona aje na skripti ya kishamba hivi?Atawachota wazee wa miaka ya 60 ila kwa sasa anaonekana kituko kituko.

Hesabu za kawaida huo mradi anasema wa miaka nane chini ya huyo mkandarasi ambaye pengine Hadi Leo hajalipwa chake ulikuwa chini ya serikali ipi ukizingatia pia katika serikali hiyo iliopita alishawahi Kuwa waziri wa fedha.Stupid,fuvkin morons
 
Waziri mkuu??!
napata ukakasi sana

Hivi hawa sijui viongozi au matapeli wanashindwaje kusoma alama na nyakati?!

Hiki sio kizazi cha drama au maigizo!
 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameelekeza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na kuzuia hati ya kusafiria ya mkandarasi anayejenga mradi wa Kituo cha ukaguzi cha Pamoja kilichopo Muhalala mkoani Singida.

View attachment 3505268View attachment 3505269
Dkt. Mwigulu amesema kuwa mkandarasi huyo aliaminiwa na Serikali kwa kupewa ujenzi wa mradi huo wa kimkakati uliosimama kwa zaidi ya miaka nane tangu mwaka 2016. Mradi huo unaojengwa na kampuni ya Impresa di Costruzioni Ing. E. Mantovani S.p.A ulipaswa kukamilika mwaka 2018.

Ametoa agizo hilo leo Ijumaa tarehe 21 Novemba, 2025 wakati alipokagua mradi huo katika ziara yake ya kikazi mkoani Singida ambapo atakagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi.

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amesema kuwa jitihada zimefanyika za kuona mradi huo unaendelea lakini mkandarasi amekuwa akileta ugumu katika utekelezaji “Mkandarasi huyu alitangazwa amefilisika na hawezi kuendelea na mradi na alielekezwa ailipe fidia Tanzania kwasababu ameicheleweshea mradi”

“Naelekeza, Kamishna wa uhamiaji kamata hati yake ya kusafiria, asitoke nje ya nchi mpaka jambo hili liishe, hii ni hujuma ya waziwazi, hii ni dharau ya waziwazi anaifanyia nchi yetu, Jeshi la Polisi mtafuteni mkandarasi huyu popote alipo, tumemuajiri, tunamlipa lakini anajiamulia Kama aendelee na kazi au asiendelee, huyu ni mhalifu akamatwe mpaka jambo hili liishe” amesisitiza Dkt. Mwigulu

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amesema kuwa wakandarasi wa nje wanapaswa kufahamu kuwa wanapokuja kufanya kazi hapa nchini, watambue Tanzania imewaajiri na wasijione kama wao ni mabosi.

“Ninaelekeza wale washirika wetu katika mradi huu, ndani ya mwezi huu jambo hili liwe limekwisha watuambie wanaendelea ama hawaendelei, na Kama hawataendelea Waziri wa Ujenzi uwapatie wakandarasi wadogo wamalizie kazi hii, hii nchi ni yetu na tunawajibu wa kuilinda, na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia ametuambia hatuna mjomba, tuna mama tu anaitwa Tanzania”
View attachment 3505270View attachment 3505271
Aidha, Dkt. Mwigulu ameiagiza Wizara ya Ujenzi ihakikishe inausimamia mradi huo ili ukamilike na itumie wakandarasi wazawa, “Ninawahakikishia mradi huu tutaujenga na kuukamilisha”

Katika hatua nyingine, Dkt. Mwigulu amemuagiza Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Abdullah Ulega kuwaelekeza wakandarasi wote kuhakikisha kuwa kila aliyepewa kazi apime kama kazi aliyoifanya inaendana na thamani ya fedha alizopokea.

“Haya ndiyo maelekezo ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia kwamba kila mradi, thamani ya fedha iendane na kazi ambayo imeshafanyika, sisi wasaidizi wake tutafuatilia maelekezo haya, hatuwezi ruhusu watu wachezee nchi yetu”

Kadhalika, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametoa wito kwa vijana wa Kitanzania kuilinda Tanzania, ili iendelee kuwa na maendeleo “Mungu ametupa nchi nzuri, nchi hii si mali ya viongozi, nchi hii sio mali ya vyama vya siasa, nchi hii ni yetu sote”

Kwa Upande wake, Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema kuwa mradi huo ni mradi wa kielelezo na unafaida nyingi sana ambazo zitalisaidia Taifa ikiwemo kuokoa fedha nyingi zinazowekwa kwenye barabara.

“Vilevile eneo hili litakuwa ni eneo la kibiashara kwasababu watu watapata nafasi ya kufanya biashara na wananchi kutengeneza uchumi wao, sisi Wizara ya ujenzi tupo tayari kujenga ili mradi hui urejee” amesisitiza Waziri Ulega.
View attachment 3505272

Mwiguru tangu 2016 anapita hapo kila mwaka kwenda kwao na alikuwa anaona pametelekezwa hata baada ya kuwa waziri wa fedha hakufanya lolote. Sijui huko kwenye baraza la mawaziri wanajadiri vitu gani. Hivi tunaweza kuleta maendeleo kweli kwa kusubiri vyeo? Maana yake mfumo wetu wa utawala ni wa hovyo sana hakuna uwajibikaji wa pamoja. Toka 2016 ndo anamuona leo 2025 huyo mkandarasi? Majengo yameshachakaa bila kukamilika.

Hivi ukiwa mwanasiasa akili ndio akili zinakuwa mgando hivi,yani kwahali iliyopo kaona aje na skripti ya kishamba hivi?Atawachota wazee wa miaka ya 60 ila kwa sasa anaonekana kituko kituko.

Hesabu za kawaida huo mradi anasema wa miaka nane chini ya huyo mkandarasi ambaye pengine Hadi Leo hajalipwa chake ulikuwa chini ya serikali ipi ukizingatia pia katika serikali hiyo iliopita alishawahi Kuwa waziri wa fedha.Stupid,fuvkin morons

Waziri mkuu??!
napata ukakasi sana

Hivi hawa sijui viongozi au matapeli wanashindwaje kusoma alama na nyakati?!

Hiki sio kizazi cha drama au maigizo!
Hawa jamaa bado hawajajifunza. Bado wanadhani wanadili na Tanzania ileee ya zamani. Mikataba ya wakandarasi ina taratibu zake za kutatua migogoro.

Anakuja kutuhadaa eti anyang'anywe passport, kwanza unamnyang'anya nani passport wakati mkandarasi ni kampuni? Amekuwa kwenye serikali iliyopita tena katika nyadhfa kubwa ya kimaamuzi kama Waziri wa Fedha. Leo anajifanya hajui kwa nini huo mradi umesimama.

Washenzi wakubwa.
 
Huyu mtu siyo waziri mkuu, asitoe matamko ya kijinga nchini.

Akamatwe yeye na genge lake kwa uuwaji wa raia.

Haya mambo ya ccm humu mnarukera, kama huyu ndiye "sink tank" wenu, malizaneni huko huko.
 
Back
Top Bottom