Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hata ItalyWakatoliki wanapenda sana kuwa na influence kila mahali.
Ila katika nchi ambazo hawana influence zote zimeendelea.
Marekani, Germany, China, Russia zote hawapo na ni nchi zenye nguvu kiuchumi.
Zenye waisilamu zikoje?Wakatoliki wanapenda sana kuwa na influence kila mahali.
Ila katika nchi ambazo hawana influence zote zimeendelea.
Marekani, Germany, China, Russia zote hawapo na ni nchi zenye nguvu kiuchumi.
😀😀Ngoja bakwata wasikie halafu uone watakavyokuja na matamko yao.
Imekuuma?...vumilia tuWakatoliki wanapenda sana kuwa na influence kila mahali.
Ila katika nchi ambazo hawana influence zote zimeendelea.
Marekani, Germany, China, Russia zote hawapo na ni nchi zenye nguvu kiuchumi.
Unaamini wakatoliki hawana influence kwenye nchi hizo ulizozitaja?uItakuwa mbumbumbu sanaWakatoliki wanapenda sana kuwa na influence kila mahali.
Ila katika nchi ambazo hawana influence zote zimeendelea.
Marekani, Germany, China, Russia zote hawapo na ni nchi zenye nguvu kiuchumi.
Kasome tena upya, catholic bado ina influence america, kwanza ndio dhehebu la kikristo lenye waumini wengi america kuliko mengine, vile vile bado wana maintain influence in germany, even sehem kubw aya european countriesWakatoliki wanapenda sana kuwa na influence kila mahali.
Ila katika nchi ambazo hawana influence zote zimeendelea.
Marekani, Germany, China, Russia zote hawapo na ni nchi zenye nguvu kiuchumi.
Italy, German, Poland etc hazina maendeleo?Wakatoliki wanapenda sana kuwa na influence kila mahali.
Ila katika nchi ambazo hawana influence zote zimeendelea.
Marekani, Germany, China, Russia zote hawapo na ni nchi zenye nguvu kiuchumi.
Ko unataka kusema Italy hawajaeendelea Spain, France je kwanza bila wakatoliki at Nyerere usinge mfahamuWakatoliki wanapenda sana kuwa na influence kila mahali.
Ila katika nchi ambazo hawana influence zote zimeendelea.
Marekani, Germany, China, Russia zote hawapo na ni nchi zenye nguvu kiuchumi.
Hope hawajamuekea sumu Baba watu.Wameanza kutengeneza njia za maridhiano, ila cheko la Padri Charles Kitima linakitu sana ndani yake
===============
Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 20, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam.
View attachment 3504999View attachment 3505000
HawanaUnaamini wakatoliki hawana influence kwenye nchi hizo ulizozitaja?uItakuwa mbumbumbu sana
Italy ni jina tu.Ko unataka kusema Italy hawajaeendelea Spain, France je kwanza bila wakatoliki at Nyerere usinge mfahamu
wote ni kutoka Singida, ndio maana wanafurahiana...Wameanza kutengeneza njia za maridhiano, ila cheko la Padri Charles Kitima linakitu sana ndani yake