PostGE2025 Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu akutana na katibu mkuu wa TEC Padri Charles Kitima

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wameanza kutengeneza njia za maridhiano, ila cheko la Padri Charles Kitima linakitu sana ndani yake
===============
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 20, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam.

Waliongea nini, au ni siri?
 
Kitima wewe Ndugu yangu, Kwanza pole kwa yaliokukuta, sasa Ndugu yangu Mimi siuungi mkono yaliokutokea. Na kwa ufupi sisote Ndani ya ccm, hatufurahi jinsi Aliyejisimika anavyotuongoza, hivyo usihofu, karibuni ataondoka.
 
Back
Top Bottom