Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,051
- 51,217
Marais wakatoliki marekani ni Kennedy na Joe Biden tuKasome tena upya, catholic bado ina influence america, kwanza ndio dhehebu la kikristo lenye waumini wengi america kuliko mengine, vile vile bado wana maintain influence in germany, even sehem kubw aya european countries
Hapo isipokuwa china kwenye list yako, ni vile wana regulation kali kwenye masuala ya dini
Kennedy walimuua , Biden kaingia hata hajujuwi.