PostGE2025 Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu akutana na katibu mkuu wa TEC Padri Charles Kitima

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Marais wakatoliki marekani ni Kennedy na Joe Biden tu

Kennedy walimuua , Biden kaingia hata hajujuwi.
 
Wewe ni mtupu kiasi hicho! Umarukia mambo usiyoyajua. Unaposema ambayo waKatoliki wana influence ai hawana influence unamaanisha nini? Au unamaanisha uwingi wa wakatoliki katika nchi hiyo?

Uawezekana wewe siyo mkatoliki na siyo mkristo wala siyo mchunguzi. Hivi unajua mashiriki makubwa ya wamisionari? Kama hujui, mojawapo ni Benedictines (OSB), hili ni shirika ambalo mizizi yake ni Ujerumani.

religipn distribution
Germany's population is predominantly Christian, with Catholicism and Protestantism being the largest denominations
 
shule na wapi na wapi na hao watu yeye kakurupuka tu
 
Wakatoliki wanapenda sana kuwa na influence kila mahali.
Ina maana hapo ni Kitima amemfuata Mwigulu ofisini kwake kusaka hiyo influence au ni vipi?

Haya yote ni matokeo ya 'inferiority complex'..muda wote unajiona mnyonge na unaonewa.
Kwa mtindo huo wa maisha, hata ujitahidi vipi utazidi kubaki nyuma wewe na kizazi chako chote.
 
... hata mimi sikubali kabisa mjadala wa mustakabal wa Taifa ujumuishe tu TEC na Serikali!
Inabidi jumuia zote zilizo na nyongo ziruhusiwe kuzitema ili muafaka utakaopatikana uwe JUMUISHI!
TEC hawawezi kuwa wajinga eti wakubali kufanya makubaliano na Serikali kuhusu mstakabali wa nchi, kwa niaba ua watanzania wote wakati wao siyo wawakilishi wa watanzania wote. Wanaweza kutoa mawazo yao au ushauri lakini siyo kupokonya haki ya wananchi ya kufanya maamuzi jui ya mstakabali wa Taifa.
 
Nadhani ni mkutano wa kifamilia hao ni ndugu wanasingida wote hapo kakosekana TAL tu
 
π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ π—”π—žπ—¨π—§π—”π—‘π—” 𝗑𝗔 π—žπ—”π—§π—œπ—•π—¨ π— π—žπ—¨π—¨ π—ͺ𝗔 π—§π—˜π—–

Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 20, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam.
 

Attachments

  • IMG-20251120-WA0092.jpg
    107.8 KB · Views: 20
  • IMG-20251120-WA0091.jpg
    118.9 KB · Views: 23
  • IMG-20251120-WA0093.jpg
    157.3 KB · Views: 23
Hawa Wasengee wa CCM wanatafuta Picha
 
wale wa tuhuma kwa viongozi wanapo kutana hawana neno leo?
 
Mama yule alichemka! Wanaomtia kiburi hawatakuwepo akianza kubinywa na wazungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…