Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Asafiri kwa SGR Kuelekea Dodoma

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Asafiri kwa SGR Kuelekea Dodoma

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
IMG-20260930-WA0090.jpg


Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026 amesafiri kwa treni ya Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma.

Waziri Mkuu ameambatana na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo.

IMG-20260930-WA0087.jpg
IMG-20260930-WA0086.jpg
 

Attachments

  • IMG-20260930-WA0098.jpg
    IMG-20260930-WA0098.jpg
    290.6 KB · Views: 14
  • IMG-20260930-WA0089.jpg
    IMG-20260930-WA0089.jpg
    106.7 KB · Views: 11
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗦𝗔𝗙𝗜𝗥𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗦𝗚𝗥 𝗞𝗨𝗘𝗟𝗘𝗞𝗘𝗔 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026 amesafiri kwa treni ya Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma.

Waziri Mkuu ameambatana na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo.
Baada ya ndege kutaka kupita nae aisee 😥
 
Kwa hiyo tufanyaje?? Kwa hiyo sasa hivi Kila kitu ni cha kukileta huku?? Na akishuka tupe taarifa pia
Wanadai mchana kuna ndege ilikuwa asafir nayo ila mwanzoni tu wakati wanaanza safari ikazingua engine nadhani ndo sababu kaja na uzi
 
IMG-20260930-WA0155.jpg
IMG-20260930-WA0153.jpg
IMG-20260930-WA0149.jpg

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026 amesafiri kwa treni ya Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma.

Waziri Mkuu ameambatana na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo.
 
Baada ya kuona ajali ya ndege kaamua kupanda SGR
 
Jana tulikuwa mungu alikuwa anatufanya tule Plau mbili!
Ila tuongeze maombi, mungu atuongezee ,Abdul , saa100 ,JK ,Riziwani ,CDF & IGP
 

Attachments

  • IMG-20260930-WA0065.jpg
    IMG-20260930-WA0065.jpg
    156 KB · Views: 11
  • IMG-20260930-WA0064.jpg
    IMG-20260930-WA0064.jpg
    53.5 KB · Views: 12
  • IMG-20260930-WA0066.jpg
    IMG-20260930-WA0066.jpg
    159.2 KB · Views: 10
Chawa wa Zanzibar , huyo ni Madelu na sio waziri mkuu hakuchaguliwa kuwa mbunge sababu waziri mkuu hutokana na ubunge wa kuchaguliwa na wananchi.
 
Back
Top Bottom