Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Baada ya ndege kutaka kupita nae aisee ๐ฅ๐ช๐๐ญ๐๐ฅ๐ ๐ ๐๐จ๐จ ๐๐๐ง. ๐ ๐ช๐๐๐จ๐๐จ ๐๐ฆ๐๐๐๐ฅ๐ ๐๐ช๐ ๐ฆ๐๐ฅ ๐๐จ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ข๐๐ข๐ ๐
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026 amesafiri kwa treni ya Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma.
Waziri Mkuu ameambatana na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo.
Kuna watu wanapenda kujipa umuhimu wa kindeziKwa hiyo tufanyaje?? Kwa hiyo sasa hivi Kila kitu ni cha kukileta huku?? Na akishuka tupe taarifa pia
Wanadai mchana kuna ndege ilikuwa asafir nayo ila mwanzoni tu wakati wanaanza safari ikazingua engine nadhani ndo sababu kaja na uziKwa hiyo tufanyaje?? Kwa hiyo sasa hivi Kila kitu ni cha kukileta huku?? Na akishuka tupe taarifa pia
Alipitiwa hajaandika kwamba mazafaka alijamba kabla ya kuingia kwenye train!Kwahiyo hii nayo ni habari๐โโ๏ธ
So what?View attachment 3681303
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026 amesafiri kwa treni ya Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma.
Waziri Mkuu ameambatana na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo.
View attachment 3681301View attachment 3681305
So? ๐คท๐คท๐คทView attachment 3681303