Achaaa wenge weweeHuyu jamaa yuko busy na kutafuta urais. Hajajua kama tunae Rais. Nataka Mama amuapishe Pm wake.. Huyu jamaa kaapa kwa marehemu.
Blinded mind..Huyu jamaa yuko busy na kutafuta urais. Hajajua kama tunae Rais. Nataka Mama amuapishe Pm wake.. Huyu jamaa kaapa kwa marehemu.
Ilisha tokea hio na ndio waziri mwachhe afny kaziii...mmmm na sio huyu aliyetuhakikishia watanzania kuwa late president JMP yupo mzima na salaam katupa wakati ukweli president he was fighting for his life?(death bed)lini hawa politician's watajifunza kuongea ukweli?and to make things more worse he never appologies to us!kwa kutuongopea!i
Unaongea ukkiwa wapi maana mji wa serikali na majengo mengine bado vinajengwa.Dodoma ni marehemu hafufuki hata mumpake mafuta ya karsma.
Majumba mengi ya taasisi yapo Dar with high property values. Rudisha vitu Dar achana na maiti Dodoma.
Huyu mzee hafai kabisaHuyu jamaa yuko busy na kutafuta urais. Hajajua kama tunae Rais. Nataka Mama amuapishe Pm wake.. Huyu jamaa kaapa kwa marehemu.
Yeye mwenyewe muda mwingi yupo DarBado mkurugenzi wa TPDC ofisi yake iko Dar hadi sasa.
Unaongea ukkiwa wapi maana mji wa serikali na majengo mengine bado vinajengwa.
Kwa iyo Ile miundo mbinu ibomolewe!?Huyu jamaa yuko busy na kutafuta urais. Hajajua kama tunae Rais. Nataka Mama amuapishe Pm wake.. Huyu jamaa kaapa kwa marehemu.
Si alitudanganya juzi juzi!Huyu mzee hafai kabisa
Naipenda Dar!Dodoma ni marehemu hafufuki hata mumpake mafuta ya karsma.
Majumba mengi ya taasisi yapo Dar with high property values. Rudisha vitu Dar achana na maiti Dodoma.
Magofu yajaUnaongea ukkiwa wapi maana mji wa serikali na majengo mengine bado vinajengwa.
Analaana ya uzaoSi alitudanganya juzi juzi!
Kama mambo yanaenda vizuri si yaonekane kwa macho sio maneno ya nadhariaWaziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania waliofikiri mkakati wa Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi hautoendelea
Akiwa Bungeni Dodoma, "Serikali imeweka mfumo mzuri wa kuhakikisha Makao Makuu ya Nchi yanaendelezwa kwa kujenga na kuendelea na mipango ya maendeleo ya Jiji la Dodoma"
Ameongeza, "Watumishi wapo Dodoma, shughuli zote za Serikali zinafanywa, ujenzi wa miundombinu mbalimbali unaendelea. Niwahakikishie Watanzania Dodoma inaendelea vizuri"