Waziri Mkuu: Dodoma itaendelea kuwa Makao Makuu ya Nchi. Ujenzi utaendelea

Waziri Mkuu: Dodoma itaendelea kuwa Makao Makuu ya Nchi. Ujenzi utaendelea

Kweli Chadema ina nguvu imewafukuza mjini.
 
🤣🤣🤣uzuri wa wagogo na sisiemu hawataachana
 
Mama haipendi baridi ya Dodoma hata hivyo hapa Dar ni chap kwenda kwao Zenji nayo akaijenge kama Chato. Ruksa.
 
Kwani kuna mtu amewabishia kuwa dodoma siyo makao makuu?

Mbona wanajishuku?
 
Huyu jamaa yuko busy na kutafuta urais. Hajajua kama tunae Rais. Nataka Mama amuapishe Pm wake.. Huyu jamaa kaapa kwa marehemu.
Alafu naona kama yupo kwenye team kibajaj na msukuma.
 
...mmmm na sio huyu aliyetuhakikishia watanzania kuwa late president JMP yupo mzima na salaam katupa wakati ukweli president he was fighting for his life?(death bed)lini hawa politician's watajifunza kuongea ukweli?and to make things more worse he never appologies to us!kwa kutuongopea!i
Makabila mengine hawajui kutamka maneno yasemayo....SAMAHANI....
 
Mama hataki kumuapiasha pm mwingine anamkubali sana pm wake

Ulitaka shughuli za bunge asimamie mama Samia

Pole Ila ndio uvumilie
Hata ukinawa miguu safari huendi
 
Sasa aliyesema Dodoma sio makao makuu ya nchi ni nani?

Huyu bwana ni miongoni mwa viongozi wa hovyo kabisa na hopeless
 
Swala Dodoma nani anaijadili tena? Ikiwezekana IKULU ya Dar iwe Makumbusho soon bila kuchelewa kwa sababu CCM huwa hawatabiriki
 
Back
Top Bottom