Waziri Mkuu: Dodoma itaendelea kuwa Makao Makuu ya Nchi. Ujenzi utaendelea

Tuache matusi njooni na hoja. Kuhamia Dodoma ulikua ujinga wa karne na umegharimu sana uchumi wa nchi.
Dodoma hakuna kitu kabisa mji umekufa na watu wake wote ni wachovu kabisa.

Sasa ungethibitisha maneno yako mkuu..Mji umekufa sawa haya tuambie mji uliokuwa hai
 
Ni ngumu sana kumwamini huyu jamaa
 
Kurudi Dar msahauuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…