Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Huyu waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Bungeni nimemsikia akisema kuwa habari zinazoenezwa mtandaoni kuhusu Loliondo hazina ukweli
na hakuna askari yoyopte aliyeenda mbugani na silaha kutishia wananchi, pengine ningemuamini kwa kiasi fulani lakini hili la kusema hakuna askari aliyeenda mbugani na silaha ndio limenifanya nikampa 0%
Picha zipo za wazi kabisa askari wakiwa wameshika bunduki, waziri mkuu anapata wapi ujasiri wa kusema kuwa hakuna askari aliyeenda na silaha? ndipo nikakumbuka ule uongo wake wa karne kuwa Magufuli ni mzima na anachapa kazi, kisha baada ya siku 3 tukatangaziwa amekufa, huyu mtu hapaswi kuaminika kwa lolote