ngalakeri
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 1,673
- 1,401
So what!Raia wananyanyaswa ili wageni wapate nafuu.
Awamu ya sita haipendi maskini kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So what!Raia wananyanyaswa ili wageni wapate nafuu.
Awamu ya sita haipendi maskini kabisa.
Zinakuuma?Mods nawakumbusha tena, hizi nyuzi ni nyingi na zote zinahusu jambo moja. So ni busara mziunganishe kama mnavyounganishaga zingine, bila kujali waandikaji wana hatimiliki ya JF au not.
Pele limemkuta mkunaji.. Na hao CHADEMA wanavotaka mambo madogo madogo haya wayakuze wakue kisiasa.. Shenzi tuMnakalia vitu vidogo vinawaumiza tu
Hili litapita kama yalivyopita mengine, na mwisho wa siku wataangukia pua tu kwenye uchaguzi. Watanzania wa sasa sio sawa na wale wa miaka 20 iliyopita. Wa sasa wengi wanaufahamu na wanajua namna ya kupata haki zao kupitia akili zao, na sio kuwategemea wanasiasa kama ilivyokuwa miaka 20 iliyopita.Pele limemkuta mkunaji.. Na hao CHADEMA wanavotaka mambo madogo madogo haya wayakuze wakue kisiasa.. Shenzi tu
Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
Sio desturi za TanzaniaHuyu mzee kwanza anatakiwa kujihuzulu ni muongo sn
Huu mkono wa kushoto kavaa gloves huyu mmasai au??Huyu waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Bungeni nimemsikia akisema kuwa habari zinazoenezwa mtandaoni kuhusu Loliondo hazina ukweli
na hakuna askari yoyopte aliyeenda mbugani na silaha kutishia wananchi, pengine ningemuamini kwa kiasi fulani lakini hili la kusema hakuna askari aliyeenda mbugani na silaha ndio limenifanya nikampa 0%
Picha zipo za wazi kabisa askari wakiwa wameshika bunduki, waziri mkuu anapata wapi ujasiri wa kusema kuwa hakuna askari aliyeenda na silaha? ndipo nikakumbuka ule uongo wake wa karne kuwa Magufuli ni mzima na anachapa kazi, kisha baada ya siku 3 tukatangaziwa amekufa, huyu mtu hapaswi kuaminika kwa lolote
View attachment 2256119
Leo hata kaheshima kadogo alikokuwa amebakiza kameporomoka.Huyu waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Bungeni nimemsikia akisema kuwa habari zinazoenezwa mtandaoni kuhusu Loliondo hazina ukweli
na hakuna askari yoyopte aliyeenda mbugani na silaha kutishia wananchi, pengine ningemuamini kwa kiasi fulani lakini hili la kusema hakuna askari aliyeenda mbugani na silaha ndio limenifanya nikampa 0%
Picha zipo za wazi kabisa askari wakiwa wameshika bunduki, waziri mkuu anapata wapi ujasiri wa kusema kuwa hakuna askari aliyeenda na silaha? ndipo nikakumbuka ule uongo wake wa karne kuwa Magufuli ni mzima na anachapa kazi, kisha baada ya siku 3 tukatangaziwa amekufa, huyu mtu hapaswi kuaminika kwa lolote
View attachment 2256119
Kawadanganye wauaji wenzio.Hayo mapicha ni ya zamani acheni upotoshaji.
Huna uwezo wa kuishauri serikali....in short una laana. Umelaaniwa na hutakaa uwe na amani. Unakuwa na furaha unapoona wenzio wamepata matatizo na hiyo ni roho ya kuzimu.Nashauri seikali ipeleke vikosi vya Askari wakawapige hao wahuni hata kwa live bulkets. Wakifa Kama 20 hivi wataondoka wenyewe.
Mikoa mingine watu wanafurushwa why not the?
Raia wananyanyaswa ili wageni wapate nafuu.
Awamu ya sita haipendi maskini kabisa.
MPUMBAVU sana weweWamasai wa ngorongoro ni kipi spesho walichonacho mpaka wanajiona bora? hawajui ardhi yote ni mali ya serikali na inauwezo wa kuibadilishia matumizi mda wowote?
inafaa walalamike kuhamishwa bila fidia lakini sio walalamike na kutolewa ngorongoro
upumbavu mtupu, wakikataa kwa hiyari watatoka kwa lazima
waache waendelee kudanganywa na wanasiasa wapumbavu