Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mwarabu ameweka mzigo wa maana haswaWahuni wanataka kujenga Hotel, wamasai wapishe tu vinginevyo watauawa.
Laana za kina Ben SaananeRaia wananyanyaswa ili wageni wapate nafuu.
Awamu ya sita haipendi maskini kabisa.
Huyu waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Bungeni nimemsikia akisema kuwa habari zinazoenezwa mtandaoni kuhusu Loliondo hazina ukweli
na hakuna askari yoyopte aliyeenda mbugani na silaha kutishia wananchi, pengine ningemuamini kwa kiasi fulani lakini hili la kusema hakuna askari aliyeenda mbugani na silaha ndio limenifanya nikampa 0%
Picha zipo za wazi kabisa askari wakiwa wameshika bunduki, waziri mkuu anapata wapi ujasiri wa kusema kuwa hakuna askari aliyeenda na silaha? ndipo nikakumbuka ule uongo wake wa karne kuwa Magufuli ni mzima na anachapa kazi, kisha baada ya siku 3 tukatangaziwa amekufa, huyu mtu hapaswi kuaminika kwa lolote
View attachment 2256119
Kule Chaltle hata makaburi yang,olewe kuongeza mbuga ya wanyama ya chato/burigiWamasai wa ngorongoro ni kipi spesho walichonacho mpaka wanajiona bora? hawajui ardhi yote ni mali ya serikali na inauwezo wa kuibadilishia matumizi mda wowote?
inafaa walalamike kuhamishwa bila fidia lakini sio walalamike na kutolewa ngorongoro
upumbavu mtupu, wakikataa kwa hiyari watatoka kwa lazima
waache waendelee kudanganywa na wanasiasa wapumbavu
Hapo zamani kwa serikali ya chama gani[emoji41]Hayo mapicha ni ya zamani acheni upotoshaji.
DinariMwarabu ameweka mzigo wa maana haswa
Sema na wewe post yako imekosa credibility kwasababu umetuwekea picha ambayo haihusiani na tukio la mapigano. Ile mishale na upinde viko wapi! Kweli kwenye mapigano mzee wa kimasai anaweza kukaa hapo chini comfortably! Hiyo kwangu Mimi ni picha ya kikao cha majadiliano yaliyoongozwa na kiongozi ambaye protokali inaruhusu silaha kuwepo.Huyu waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Bungeni nimemsikia akisema kuwa habari zinazoenezwa mtandaoni kuhusu Loliondo hazina ukweli