Waziri Mkuu huna credibility yoyote ya kukanusha taarifa yoyote na watu wakakuamini, hata hili la Ngorongoro

Mods nawakumbusha tena, hizi nyuzi ni nyingi na zote zinahusu jambo moja. So ni busara mziunganishe kama mnavyounganishaga zingine, bila kujali waandikaji wana hatimiliki ya JF au not.
Zinakuuma?
 
Pele limemkuta mkunaji.. Na hao CHADEMA wanavotaka mambo madogo madogo haya wayakuze wakue kisiasa.. Shenzi tu

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
Hili litapita kama yalivyopita mengine, na mwisho wa siku wataangukia pua tu kwenye uchaguzi. Watanzania wa sasa sio sawa na wale wa miaka 20 iliyopita. Wa sasa wengi wanaufahamu na wanajua namna ya kupata haki zao kupitia akili zao, na sio kuwategemea wanasiasa kama ilivyokuwa miaka 20 iliyopita.
 
Huu mkono wa kushoto kavaa gloves huyu mmasai au??
 
Wataumia bure tu wakiambiwa wadai katiba mpya wenyewe hawaelewi katiba iliyopo ardhi n Mali ya serekali wawe wapole hapo lazima watahama tu n swala la muda
 
Leo hata kaheshima kadogo alikokuwa amebakiza kameporomoka.
 
Nashauri seikali ipeleke vikosi vya Askari wakawapige hao wahuni hata kwa live bulkets. Wakifa Kama 20 hivi wataondoka wenyewe.

Mikoa mingine watu wanafurushwa why not the?
Huna uwezo wa kuishauri serikali....in short una laana. Umelaaniwa na hutakaa uwe na amani. Unakuwa na furaha unapoona wenzio wamepata matatizo na hiyo ni roho ya kuzimu.
Shindwa pepoo....shindwa kabisa
 
1 Ole wake mji wa damu! Umejaa mambo ya uongo na unyang'anyi; mateka hayaondoki.
2 Kelele za mjeledi, kelele za magurudumu yafanyayo kishindo; na farasi wenye kupara-para, na magari ya vita yenye kuruka-ruka;
Nahumu 3:1,2



Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Huyo pm sijui huwa anatuchukuliaje yaani, serikali ya Tanzania haijawahi kuwafanyia raia wake favor wanayowafanyia wamasai wa ngorongoro hizo fidia zenyewe kulipaga ni isdue, hapo inawezekana mwarabu katoa pesa ndefu sana ambayo kiasi kidogo ndio imeenda kuwajengea makaz wamasai kule Tanga.
 
MPUMBAVU sana wewe
 
Huyo Ni victim kwa waliojeruhiwa sijui na nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…