Waziri Mkuu Italia: Ufaransa wanaihujumu Africa

Waziri Mkuu Italia: Ufaransa wanaihujumu Africa

mangiTz

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2019
Posts
1,820
Reaction score
3,062
Habari wana JF,

Kwa wanaojua Kifaransa kuna clip nimekutana nayo inaonesha mtoa hotuba amechukizwa na matamshi ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, na ameishtumu Ufaransa kubwa ni nchi inayoongoza kwa kulinyonya bara na nchi za Kiafrika inasemekana ni waziri mkuu wa Italia.

Video yake inatoa sub title zilizotafsiriwa wanaojua Kifaransa mtusaidie pia, lakini pia ni kwa asilimia kubwa nchi za Magharibi zimekuwa zikijinufaisha kwa nchi za Afrika either kwa kigezo cha misaada au uwekezaji kitu ambacho huwa hakuna uwiano wa faida baina ya sehemu mbili.


View: https://www.facebook.com/reel/194021087106900?s=yWDuG2&fs=e&mibextid=Nif5oz
 
Kabla hatujawalaumu wazungu tuanze na viongozi wetu wanaosaini mikataba ya kijinga
Kwanza hapo ni mzungu kamlaumu mzungu. Pia hio mikataba ipo toka Enzi za ukoloni, ni mikataba ya kijinga ambayo viongozi wa sasa wameikuta, ndio hao unaona wanaasi na kuwafukuza Ufaransa.
 
Video nyengine hii hapa yenye picha
 
Back
Top Bottom