Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
NB :Hii itabaki kumbukumbu ya vizazi na vizazi.
Baada ya PM Majaliwa kuingilia na kuunda kamati ya jinsi gani kuwaondoa jamii ya Kimaasai katika eneo la Ngorongoro, watanzania na dunia wamesikitishwa na kulia machozi ya damu baada ya kufanyiwa fitina na siasa isiyo na chembechembe ya UTU kwa kuandaa kamati ya laigwanani wa 'mchongo' kupitisha azimio hilo la kuwatoa kwa nguvu katika ardhi ya mababu zao.
Sasa, kwa kuwa sauti, maombi na kilio cha wengi kwa Mungu husikika , jamii hii ya kimaasai imefanya maombi ya laana kwa Facilitator ambaye ni PM Majaliwa na wote wanaohusika katika uvunifu huo wa binadamu kuwahi kutokea.
Tusijelaumu na kujiuliza mwezi March una nini endapo Mungu atasikiliza kilio cha ndugu zetu hapo NCAA baada ya kushusha pigo lake.
Mungu bariki Masailand na viumbe vilivyomo.!