Baada ya PM Majaliwa kuingilia na kuunda kamati ya jinsi gani kuwaondoa jamii ya Kimaasai katika eneo la Ngorongoro, watanzania na dunia wamesikitishwa na kulia machozi ya damu baada ya kufanyiwa fitina na siasa isiyo na chembechembe ya UTU kwa kuandaa kamati ya laigwanani wa 'mchongo' kupitisha azimio hilo la kuwatoa kwa nguvu katika ardhi ya mababu zao.
Sasa, kwa kuwa sauti, maombi na kilio cha wengi kwa Mungu husikika , jamii hii ya kimaasai imefanya maombi ya laana kwa Facilitator ambaye ni PM Majaliwa na wote wanaohusika katika uvunifu huo wa binadamu kuwahi kutokea.
Tusijelaumu na kujiuliza mwezi March una nini endapo Mungu atasikiliza kilio cha ndugu zetu hapo NCAA baada ya kushusha pigo lake.
Hata waarabu wakikumbatiwa wauziwe loliondo na masai kudhulumiwa haki zao ni swala la muda tu waarabu wataiacha ngororongoro na loliondo
Acha wajidai hii miaka saba
Unajua mi nawashangaa sana Masai, pale wao walihamia tu. Lile pori ni la wanyama. Lakin wamejimilikisha. Masai lazima waondoke ngorongoro kwaajili ya urithi wa vizazi vijavyo vya watanzania wote

Unaoneka hausomi mabandiko humu, kila siku yanawekwa, sometimes fanya searching itakusaidia kabla ujauliza kwa panic.
Inshort; Pale ngorongoro masai waliamishiwa kutokea Serengeti ambapo hii nca ilikuwa moja na Serengeti, so walipoigawa ndiposa walitwaliwa na kuletwa hapo walipo na kulifanya eneo la uhifadhi la ecologia ya maisha mchanganyiko.
Baada ya PM Majaliwa kuingilia na kuunda kamati ya jinsi gani kuwaondoa jamii ya Kimaasai katika eneo la Ngorongoro, watanzania na dunia wamesikitishwa na kulia machozi ya damu baada ya kufanyiwa fitina na siasa isiyo na chembechembe ya UTU kwa kuandaa kamati ya laigwanani wa 'mchongo' kupitisha azimio hilo la kuwatoa kwa nguvu katika ardhi ya mababu zao.
Sasa, kwa kuwa sauti, maombi na kilio cha wengi kwa Mungu husikika , jamii hii ya kimaasai imefanya maombi ya laana kwa Facilitator ambaye ni PM Majaliwa na wote wanaohusika katika uvunifu huo wa binadamu kuwahi kutokea.
Tusijelaumu na kujiuliza mwezi March una nini endapo Mungu atasikiliza kilio cha ndugu zetu hapo NCAA baada ya kushusha pigo lake.
Unajua mi nawashangaa sana Masai, pale wao walihamia tu. Lile pori ni la wanyama. Lakin wamejimilikisha. Masai lazima waondoke ngorongoro kwaajili ya urithi wa vizazi vijavyo vya watanzania wote
Unajua mi nawashangaa sana Masai, pale wao walihamia tu. Lile pori ni la wanyama. Lakin wamejimilikisha. Masai lazima waondoke ngorongoro kwaajili ya urithi wa vizazi vijavyo vya watanzania wote
Tatizo la Maasai wanafikiri Ngorongoro ni mali yao binafsi.
Ebu fikiri wachagga wanafikiri Kilimanjaro ni mali yao.
Wahehe Ruaha ni mali yao.
WaIraq Manyara ni mali yao
Wapare Mkomazi mali yao.
Wazigua &Wafigo Saadani ni yao
Mikumi Wapogoro ni yao