Waziri mkuu Kasimu Majaliwa tumechoka na kamati zako.Sasa utupe mrejesho wa kamati zote ulizounda kabla ya kamati mpya.

Waziri mkuu Kasimu Majaliwa tumechoka na kamati zako.Sasa utupe mrejesho wa kamati zote ulizounda kabla ya kamati mpya.

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Kesho ikitokea familia moja wamemeza mashoka na kulazwa utaunda kamati.
Hatupingi kuundwa kamati ila tunataka majibu ya wazi kama ulivyotangaza kwa uwazi kuwa unaunda kamati kuchunguza jambo.
Tupe majibu ya kamati zote ulizounda.
Screenshot_20230518_093923_Facebook.jpg
 
Kilichotokea jana ni siasa kama siasa zingine tu.

Kama ulipata mrejesho wa kuungua masoko ya Kariakoo na Karume kutoka kwenye kamati zilizoundwa na huyo huyo Majaaliwa basi tarajia majibu toka katika hili pia. Kinyume na hapo elewa ndio ishatoka hiyo ikirudi pancha.

Mnufaika mkuu wa hiyo kamati ni hao wajumbe saba wa upande wa wafanyabiashara. Watalambishwa asali waufyate na msiwasikie tena.
 
Kesho ikitokea familia moja wamemeza mashoka na kulazwa utaunda kamati.
Hatupingi kuundwa kamati ila tunataka majibu ya wazi kama ulivyotangaza kwa uwazi kuwa unaunda kamati kuchunguza jambo.
Tupe majibu ya kamati zote ulizounda.
View attachment 2626214
Kila siku kamatinl kamati afu anaingia mitini. Ile ya kuungua soko la kariakoo report ipo wapi?
 
Huyu Bwana mimi sina kumbukumbu ya jambo lolote alilowahi kufanya akafanikiwa.

Anajua kupiga beat vizur na kuunda tume.
Hii sio kweli. Kwamba kwenye mambo yake yoote hakuna hata moja?? Automatically hii ni chuki binafsi na chuki binafsi ni unconscious!!
 
Kesho ikitokea familia moja wamemeza mashoka na kulazwa utaunda kamati.
Hatupingi kuundwa kamati ila tunataka majibu ya wazi kama ulivyotangaza kwa uwazi kuwa unaunda kamati kuchunguza jambo.
Tupe majibu ya kamati zote ulizounda.
View attachment 2626214
Hana jipya anaunda tume report hazitolewi fedha ya walipakodi inakwenda bure, atupe report ya kuungua kwa soko, anachokificha ni nini? Kina maslahi kwa nani?
 
Waziri mkuu kwa sasa hana meno,meno alikuwa nayo wakati wa hayati Magufuli,walishahabiana,saizi akileta za Magufuli wanamfyekkelea mbali,ni muda wa kulamba asali na kuziba nta masikio dhidi ya malalamiko ya wananchi
Wakati wa jpm aliunda tume ya ku harmonize mishahara je ripoti aliyopewa alishaisoma au walau kutupa mrejesho.
Pm majaliwa bhana emu jitafakari unafungwa kengele na wenzako bila kujijua
 
Miongoni mwa njia za kutatua migogoro au migomo ni hiyo anayotumia PM. Delaying technique, si mnajua leo mnahasira Sasa tutawapooza vipi ngoja tuunde kamati baada ya wiki makasiriko yameisha hakuna cha majibu ya kamati wala nn
 
Wakati wa jpm aliunda tume ya ku harmonize mishahara je ripoti aliyopewa alishaisoma au walau kutupa mrejesho.
Pm majaliwa bhana emu jitafakari unafungwa kengele na wenzako bila kujijua
Sio jukumu langu kujua ya kwamba ilisomwa au lah,
Je utaratibu unamlazimisha kufanya hivyo?
 
Hizo Kamati ni njia nyingine ya ulaji.

Hazina tija. Pia ni mzigo mwingine kwa mlipa kodi, ambaye wanajifanya wanataka kumsaidia.
 
Tangu zama za jpm huyu jamaa anaunda sana kamati na tume ila sijawahi ona matokeo yake. huwa hafanyi maamuzi ya mojamoja au papo kwa papo
 
Back
Top Bottom