Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kila siku kamatinl kamati afu anaingia mitini. Ile ya kuungua soko la kariakoo report ipo wapi?Kesho ikitokea familia moja wamemeza mashoka na kulazwa utaunda kamati.
Hatupingi kuundwa kamati ila tunataka majibu ya wazi kama ulivyotangaza kwa uwazi kuwa unaunda kamati kuchunguza jambo.
Tupe majibu ya kamati zote ulizounda.
View attachment 2626214
Hii sio kweli. Kwamba kwenye mambo yake yoote hakuna hata moja?? Automatically hii ni chuki binafsi na chuki binafsi ni unconscious!!Huyu Bwana mimi sina kumbukumbu ya jambo lolote alilowahi kufanya akafanikiwa.
Anajua kupiga beat vizur na kuunda tume.
Hana jipya anaunda tume report hazitolewi fedha ya walipakodi inakwenda bure, atupe report ya kuungua kwa soko, anachokificha ni nini? Kina maslahi kwa nani?Kesho ikitokea familia moja wamemeza mashoka na kulazwa utaunda kamati.
Hatupingi kuundwa kamati ila tunataka majibu ya wazi kama ulivyotangaza kwa uwazi kuwa unaunda kamati kuchunguza jambo.
Tupe majibu ya kamati zote ulizounda.
View attachment 2626214
Wakati wa jpm aliunda tume ya ku harmonize mishahara je ripoti aliyopewa alishaisoma au walau kutupa mrejesho.Waziri mkuu kwa sasa hana meno,meno alikuwa nayo wakati wa hayati Magufuli,walishahabiana,saizi akileta za Magufuli wanamfyekkelea mbali,ni muda wa kulamba asali na kuziba nta masikio dhidi ya malalamiko ya wananchi
Na vp kuhusu ile kamati ya wale police wa Mtwara waliomua mfanyabiashara wa Madini!? Ni muda Sasa sijasikia majibu yake!!Kila siku kamatinl kamati afu anaingia mitini. Ile ya kuungua soko la kariakoo report ipo wapi?
Sio jukumu langu kujua ya kwamba ilisomwa au lah,Wakati wa jpm aliunda tume ya ku harmonize mishahara je ripoti aliyopewa alishaisoma au walau kutupa mrejesho.
Pm majaliwa bhana emu jitafakari unafungwa kengele na wenzako bila kujijua
Hivi Kati ya "Kamati na Tume" wapi wako faster kuleta majibu!!?Taifa la kamati
Kuna MTU WA tax force Jana kidogo auawe kariakoo Kwa kujifanya mwambaMiongoni mwa njia za kutatua migogoro au migomo ni hiyo anayotumia PM. Delaying technique, si mnajua leo mnahasira Sasa tutawapooza vipi ngoja tuunde kamati baada ya wiki makasiriko yameisha hakuna cha majibu ya kamati wala nn
ilikuwajeKuna MTU WA tax force Jana kidogo auawe kariakoo Kwa kujifanya mwamba