Kwa hilo mnamlaumu bure PM, boss wake alikua hapendi kupanikisha watu kwa taarifa za magonjwa, , muulize yule mtoto wa malecele na taarifa za zika, kilimpata nini?, hata covid ilikua marufuku kutishia watu, mifano mliona,
Jk alipotska kwenda kufanya surgery ya tezi dume, jpm akiwa waziri ujenzi, alimshauri jk afiche taarifa hizo, , hilo alilisema jk kipindi anaaga kwenda nje kufanya upasuaji,
Jpm alikuwa hapendi kupanikisha watu kwa taarifa za magonjwa, na yeyote aliekiuka mluona kilimpata nini, ,
So PM alukua anafuata protocol tu na wala hilo suala sio la kushikia bango kivile