real life skills
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 233
- 238
[emoji106][emoji106][emoji106]Jana wakati unakataa kuzindua barabara pale Liwale ulimuuliza Injinia kwanini taa hazijawekwa. Injinia alipoanza kufunguka ukamkatiza maana ulijua atasema ukweli na wadanganyika wakakushangilia.
Pia kipindi kile unakagua mradi wa DART ulimuuliza swali Mkurugenzi akaanza kufunguka ukamkatiza ukaongea wewe tu na mwisho akatumbuliwa wakati mlikuwa mmezuia mabasi 70 bandarini kisa kodi.
Ndugu yangu Majaliwa siasa za kimagufuli hazitakusaidia, watanzania sio wajinga.
Jana wakati unakataa kuzindua barabara pale Liwale ulimuuliza Injinia kwanini taa hazijawekwa. Injinia alipoanza kufunguka ukamkatiza maana ulijua atasema ukweli na wadanganyika wakakushangilia.

Majaliwa ni seti tupu au tabular rasa. Anapenda kufanya kazi za show off na vyombo vya habari mbele lakini hayuko MAKINI. Ushahidi huu hapa;expand...
Mkataba unasema barabar za lami zikijenga mjini ziwekwe taa, PM hana kosa banaWanasiasa ndivyo walivyo wanaboa sana
Kwa hilo mnamlaumu bure PM, boss wake alikua hapendi kupanikisha watu kwa taarifa za magonjwa, , muulize yule mtoto wa malecele na taarifa za zika, kilimpata nini?, hata covid ilikua marufuku kutishia watu, mifano mliona,"Rais Ni mzima na anachapa kazi"PM majaliwa ni muongo ongo Sana.
Muongo ni muongo tu mkuuKwa hilo mnamlaumu bure PM, boss wake alikua hapendi kupanikisha watu kwa taarifa za magonjwa, , muulize yule mtoto wa malecele na taarifa za zika, kilimpata nini?, hata covid ilikua marufuku kutishia watu, mifano mliona,
Jk alipotska kwenda kufanya surgery ya tezi dume, jpm akiwa waziri ujenzi, alimshauri jk afiche taarifa hizo, , hilo alilisema jk kipindi anaaga kwenda nje kufanya upasuaji,
Jpm alikuwa hapendi kupanikisha watu kwa taarifa za magonjwa, na yeyote aliekiuka mluona kilimpata nini, ,
So PM alukua anafuata protocol tu na wala hilo suala sio la kushikia bango kivile
Jana wakati unakataa kuzindua barabara pale Liwale ulimuuliza Injinia kwanini taa hazijawekwa. Injinia alipoanza kufunguka ukamkatiza maana ulijua atasema ukweli na wadanganyika wakakushangilia.
Pia kipindi kile unakagua mradi wa DART ulimuuliza swali Mkurugenzi akaanza kufunguka ukamkatiza ukaongea wewe tu na mwisho akatumbuliwa wakati mlikuwa mmezuia mabasi 70 bandarini kisa kodi.
Ndugu yangu Majaliwa siasa za kimagufuli hazitakusaidia, watanzania sio wajinga.
Mkuu mbona inatuhusu hii? BAVICHA wapi tena.Ngoja waje bavicha!
Mfano wewe uone mother kavusha, kisha baba akaja na kukuuliza, mwanangu uliona mamako anaingiza mtu humu ndani?, utasema ukweli au utapindisha ili kutunza amani?, [emoji23]Muongo ni muongo tu mkuu
Majaliwa kajaliwa uwongoKama mkataba ulisema taa zitafungwa kwa nini mkandalazi asifunge? Hivi yeye ni mjinga kiasi gani athubutu kukabidhi project bila kumalizia vipengele vyote vilivyomo kwenye mkataba? Siasa za majukwaani bana ni hatari sana.
Unamaanisha anamudu sana unyapara?Majaliwa anajua sana kusimamia mambo, heko Majaliwa
Kwa hilo mnamlaumu bure PM, boss wake alikua hapendi kupanikisha watu kwa taarifa za magonjwa, , muulize yule mtoto wa malecele na taarifa za zika, kilimpata nini?, hata covid ilikua marufuku kutishia watu, mifano mliona,
Jk alipotska kwenda kufanya surgery ya tezi dume, jpm akiwa waziri ujenzi, alimshauri jk afiche taarifa hizo, , hilo alilisema jk kipindi anaaga kwenda nje kufanya upasuaji,
Jpm alikuwa hapendi kupanikisha watu kwa taarifa za magonjwa, na yeyote aliekiuka mluona kilimpata nini, ,
So PM alukua anafuata protocol tu na wala hilo suala sio la kushikia bango kivile
Kile kibanda cha TANESCO alichoambiwa kimetumia 7m akaanza kujifanya kuhoji issue nonsense na media zikachukua kumbe yeye ndo kachemka vibaya mno.Jana wakati unakataa kuzindua barabara pale Liwale ulimuuliza Injinia kwanini taa hazijawekwa. Injinia alipoanza kufunguka ukamkatiza maana ulijua atasema ukweli na wadanganyika wakakushangilia.
Pia kipindi kile unakagua mradi wa DART ulimuuliza swali Mkurugenzi akaanza kufunguka ukamkatiza ukaongea wewe tu na mwisho akatumbuliwa wakati mlikuwa mmezuia mabasi 70 bandarini kisa kodi.
Ndugu yangu Majaliwa siasa za kimagufuli hazitakusaidia, watanzania sio wajinga.
Ca.phone[emoji38][emoji28][emoji28][emoji28]Tangu alipotupiga kamba kuwa Magufuli yuko vyema na anaendelea na majukumu yake ya kiofisi (ikulu) kumbe mzee wetu anapigania maisha yake ..kwanzia hapo huyu Ca-phone sijawahi mkubali.
Huyu huyu kumbe na yeye alikuwa hajui boss wake kafa. Wababe Bashiru na Doto walificha maiti huku wanachukua hela za matibabu BOT.
Mpumbavu kweli wewe. Msitumie kudhalilisha watu ili mpate kiki za kisiasa. Hao watu wana haki zao na familia zao. Unamtukana mtu mbele ya makamera bila kumsikiliza hizo ni siasa za kipumbavu sana. Tupo karne 21 acheni mambo ya kishamba.Mnapoongea hivi, sio mnachafua majina ya watu bila kutoa ushahidi?
Mpumbavu kweli wewe. Msitumie kudhalilisha watu ili mpate kiki za kisiasa. Hao watu wana haki zao na familia zao. Unamtukana mtu mbele ya makamera bila kumsikiliza hizo ni siasa za kipumbavu sana. Tupo karne 21 acheni mambo ya kishamba.
Karne ya 21 mnatumia siasa za kudhalilisha watu ili mpande kisiasa!Mpumbavu nani kati yangu na wewe? Ukiona mtu anajitutumua sana ili hoja zake zikubalike, ujue hana hoja.