Mbona hakumpa nafasi ajieleze? Kilichomfanya amkatishe ni nini? Hizo ni siasa za kise.nge sana. Unamshusha mwenzio ili wewe upande kisiasa. Udhalilishaji usiwe ngazi ya kupanda kisiasa.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂kaka nina hakika ww hata kusimamia familia huwezi… kila siku itakuwa ni shida tupu, acheni watu wasimamie kodi za watanzania, walipa kodi wakiona fedha zao hazitekelezi yale yaliyojusudiwa inaumiza tena ninyi ndio wapiga kelele kwamba vitu havisimamiwi, punguza chuki kaka acha watu wasimamie fedha za umma
Lakini yule Naibu Waziri kwenye Clip ya Watendaji kakiri wazi kuwa kulikua na shida na wamemuomba Waziri Mkuu mpk mwishoni mwa Nov aende kuzindua. Wabongo mbona km hatuna jema hivi? Mnakatisha tamaa Viongozi wetu.[emoji106][emoji106][emoji106]