Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatafutwa upenyo wa kula rushwa na bandari ndipo mapato mengi ya nchi yanapopatikana!Ndicho wasaliti wanataka
Mmeanza maneno haya tena 😃😀😁 wakati kila siku mlikuwa mnamwombea Magufuri mabaya mpaka Mungu kasikiliza maombi yenu akanchua.Sasahivi mnamtaka Rais dictetor kuliko Magufuri? Nchi hii hata aongeze malaika haiwezi.Mama anapigishwa shoti nn, nchi hii bado anahitajika dictator tu,lasivyo nchi hii ni kimeo sana.
Hakuna mkamilifu mkuu, ila ule mpera mpera wa jeipiemu, hakuna mtu angethubutu kufanya huo ujinga......kinachofanyika ni wale team Kakoko ndiyo wanampigisha shoti aliyechaguliwa na Sa100Mmeanza maneno haya tena 😃😀😁 wakati kila siku mlikuwa mnamwombea Magufuri mabaya mpaka Mungu kasikiliza maombi yenu akanchua.Sasahivi mnamtaka Rais dictetor kuliko Magufuri? Nchi hii hata aongeze malaika haiwezi.
🙉🙉🙉Wanapima maji kila kona na Lisu haonekani kuwakemea
Duh nchi hii kuendelea ni ngumuHakuna mkamilifu mkuu, ila ule mpera mpera wa jeipiemu, hakuna mtu angethubutu kufanya huo ujinga......kinachofanyika ni wale team Kakoko ndiyo wanampigisha shoti aliyechaguliwa na Sa100
Hiyo bandari ya bagamoyo itakuwa inamilikiwa na wachina kwa miaka 99Ili ufanisi wa bandari ya Dar uongezeke, sasa naona umuhimu wa kujenga bandari ya Bagamoyo ili bandari hizi mbili ziwe zinajiendesha kwa ushindani. Ile yenye ufanisi mkubwa ndiyo itakayokimbiliwa na wateja wengi zaidi.
Kwa kuanzia tuanze na bandari ya Bagamoyo yenye kuweza kuhandle TEU laki tano na tutaipanua kadiri inavyoweza kuzalisha.
Jikite kwenye hojaThread ulianza vizuri ukaanza kuingiza mavumbi yako hapo mwishoni, kenge kabisa.
Kwa mazingira haya tutasubili sana,hata katiba mpya ije bado tutaendelea kupiga hatua kumi mbele, tunarudi 12......Duh nchi hii kuendelea ni ngumu
Akili za Nyumbu bana. We Lazima utakuwa mjukuu wa aliyepewa BenzKufuatia huduma za bandari ya Dares salaam kuzorota kwa mwezi mzima sasa na wateja kuanza kulalamika kwa huduma mbovu wanayopewa ,waziri mkuu mh Kassim Majaliwa leo tarehe 12 mwezi may amefanya ziara ya kushitukiza ili kujonea tatizo ni nini.
Ikumbukwe leo mbunge Costa Chami alitoa hoja kuliomba bunge liahirishe shughuli zote ili kujadili hujuma na rushwa zinazoendelea bandarini hadi kupelekea malori kukaa kwa wiki nzima bila kupata huduma.
My take
Malori kukwama bandarini ni furaha kubwa sana kwa Lema, Msigwa, Lisu na chadema kwa ujumla kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee ya kuuwa legacy ya Magufuli.
Huwezi kuchafua oil chafu itakuchafua, tayari chadema maji ya shingo .
Magufuli aliwagaragaza akiwa hai atawagaragaza akiwa mauti.
Piga kazi Mh Majaliwa wewe ndiyo tumaini letu.
View attachment 1782258View attachment 1782259
Tukijenga ndogo, tunaweza kujenga kwa fedha zetu.Hiyo bandari ya bagamoyo itakuwa inamilikiwa na wachina kwa miaka 99
Narudia tena mwendazake Hana legacy yoyote ya maana hapo bandarini .Kufuatia huduma za bandari ya Dares salaam kuzorota kwa mwezi mzima sasa na wateja kuanza kulalamika kwa huduma mbovu wanayopewa ,waziri mkuu mh Kassim Majaliwa leo tarehe 12 mwezi may amefanya ziara ya kushitukiza ili kujonea tatizo ni nini.
Ikumbukwe leo mbunge Costa Chami alitoa hoja kuliomba bunge liahirishe shughuli zote ili kujadili hujuma na rushwa zinazoendelea bandarini hadi kupelekea malori kukaa kwa wiki nzima bila kupata huduma.
My take
Malori kukwama bandarini ni furaha kubwa sana kwa Lema, Msigwa, Lisu na chadema kwa ujumla kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee ya kuuwa legacy ya Magufuli.
Huwezi kuchafua oil chafu itakuchafua, tayari chadema maji ya shingo .
Magufuli aliwagaragaza akiwa hai atawagaragaza akiwa mauti.
Piga kazi Mh Majaliwa wewe ndiyo tumaini letu.
View attachment 1782258View attachment 1782259
Kufuatia huduma za bandari ya Dares salaam kuzorota kwa mwezi mzima sasa na wateja kuanza kulalamika kwa huduma mbovu wanayopewa ,waziri mkuu mh Kassim Majaliwa leo tarehe 12 mwezi may amefanya ziara ya kushitukiza ili kujonea tatizo ni nini.
Ikumbukwe leo mbunge Costa Chami alitoa hoja kuliomba bunge liahirishe shughuli zote ili kujadili hujuma na rushwa zinazoendelea bandarini hadi kupelekea malori kukaa kwa wiki nzima bila kupata huduma.
My take
Malori kukwama bandarini ni furaha kubwa sana kwa Lema, Msigwa, Lisu na chadema kwa ujumla kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee ya kuuwa legacy ya Magufuli.
Huwezi kuchafua oil chafu itakuchafua, tayari chadema maji ya shingo .
Magufuli aliwagaragaza akiwa hai atawagaragaza akiwa mauti.
Piga kazi Mh Majaliwa wewe ndiyo tumaini letu.
View attachment 1782258View attachment 1782259
Nmewah enda pale 2018 tulikaa folen wiki pale Malawi jargo na Zambia cargo ,,had ealinzi walipiga hela Yan ili uingize gar ndan ulitakiw kulipa 20000 na hko ndan kushusha ni pesa tulikaa wiki mbili kushusha na kupakiaKwa miaka 6 hawakuwahi kushindwa ,kwa nini washindwe sasa?