Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushitukiza bandarini

Mama anapigishwa shoti nn, nchi hii bado anahitajika dictator tu,lasivyo nchi hii ni kimeo sana.
Mmeanza maneno haya tena 😃😀😁 wakati kila siku mlikuwa mnamwombea Magufuri mabaya mpaka Mungu kasikiliza maombi yenu akanchua.Sasahivi mnamtaka Rais dictetor kuliko Magufuri? Nchi hii hata aongeze malaika haiwezi.
 
Ili ufanisi wa bandari ya Dar uongezeke, sasa naona umuhimu wa kujenga bandari ya Bagamoyo ili bandari hizi mbili ziwe zinajiendesha kwa ushindani. Ile yenye ufanisi mkubwa ndiyo itakayokimbiliwa na wateja wengi zaidi.
Kwa kuanzia tuanze na bandari ya Bagamoyo yenye kuweza kuhandle TEU laki tano na tutaipanua kadiri inavyoweza kuzalisha.
 
Mmeanza maneno haya tena 😃😀😁 wakati kila siku mlikuwa mnamwombea Magufuri mabaya mpaka Mungu kasikiliza maombi yenu akanchua.Sasahivi mnamtaka Rais dictetor kuliko Magufuri? Nchi hii hata aongeze malaika haiwezi.
Hakuna mkamilifu mkuu, ila ule mpera mpera wa jeipiemu, hakuna mtu angethubutu kufanya huo ujinga......kinachofanyika ni wale team Kakoko ndiyo wanampigisha shoti aliyechaguliwa na Sa100
 
Hakuna mkamilifu mkuu, ila ule mpera mpera wa jeipiemu, hakuna mtu angethubutu kufanya huo ujinga......kinachofanyika ni wale team Kakoko ndiyo wanampigisha shoti aliyechaguliwa na Sa100
Duh nchi hii kuendelea ni ngumu
 
Hiyo bandari ya bagamoyo itakuwa inamilikiwa na wachina kwa miaka 99
 
Akili za Nyumbu bana. We Lazima utakuwa mjukuu wa aliyepewa Benz
 
Narudia tena mwendazake Hana legacy yoyote ya maana hapo bandarini .

Alikuwa anapiga hela na akina kakoko

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Ww ni ma.ta.ko

sasa akina lema na lisu ndio walio leta mfumo mbovu bandarini??? ndio walio chelewesha magari na mizigo kutoka?

Kima [emoji205]
 
Waziri mkuu mh Majaliwa leo amefanya ziara bandarini kufuatia msongamano wa malori ulioripotiwa kuwepo kwa siku 5 sasa.

Waziri mkuu amewataka TRA kurekebisha haraka matatizo yaliyoko katika mfumo wao ili upakiaji na upakuaji wa mizigo urudi katika hali ya kawaida.

Majaliwa amesema Wadau wa Usafirishaji na Tasac wote wanailalamikia TRA hivyo amewataka wajirekebishe haraka.

Source: ITV habari!
 
Kwa miaka 6 hawakuwahi kushindwa ,kwa nini washindwe sasa?
Nmewah enda pale 2018 tulikaa folen wiki pale Malawi jargo na Zambia cargo ,,had ealinzi walipiga hela Yan ili uingize gar ndan ulitakiw kulipa 20000 na hko ndan kushusha ni pesa tulikaa wiki mbili kushusha na kupakia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…