Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushitukiza bandarini

Seems rasilimali watu nchi hii ni tatizo, kuna shida kubwa mahali aisee. Hujuma hizi hata sio poa kwa taifa.
 
kwakweli inasikitisha sana tena sana.

Huu uzembe sio wa kuvumiliwa hata kidogo, haiwezekani baadhi ya kikundi cha watu wachache wanadiriki kuchezea uchumi wa nchi yetu.

nashindwa kuamini kama kweli tatizo ni mfumo wa malipo unao sababishwa na ukosefu wa umeme.

kuna tatizo la msingi
 
Mzee wa Per diem na Maelekezo hewa. Mr. Fix
Watumishi wengi toka Magu afe,wamekua na viburi sana siku hizi! Labda Wana mgomo baridi kwa kutokupandishiwa Mishahara,Sasa wanatukomoa sisi!! Hata Majaliwa hawamuogopi!!
 
Seems rasilimali watu nchi hii ni tatizo, kuna shida kubwa mahali aisee. Hujuma hizi hata sio poa kwa taifa.
Watumishi Wana hasira wanataka Mishahara ipandishwe! Huduma nyingi zitazorota! Kind of Mgomo baridi!!
 
Kama wasomi wenyewe ndonyinyi taifa taabani umeandika upuuzi
 
Pumbavu Kabisa sasa Chadema inaingiaje hapo.

Mataga mnapwaya sana kwenye uzembe wenu mpaka muwataje Chadema.

Mko wenyewe Bungeni mnashindwa hata kumuuliza maswali Waziri Mkuu.

Hili suala la Magari kukwama siyo la leo kwani Dar es salaam haina wabunge mnapwaya sana.
 
Majaliwa we muungwana sana,
Hivyo vichwa Magu angelala navyo mbere tu hamna mjadala
 
PM katatua tatizo kweli hapo? Mbona sijaona solution yoyote? TRA timua haraka wazembe sana, Mh. Waziri Mkuu, mbona kama unawabembeleza TRA, huo mfumo wanauchezea, piga chini hao TRA, sasa hapo mbona sijaona utatuzi wa tatizo, mmmhh, Mh. Waziri Mkuu, watu wazembe sana hapo TPA, piga chini, utaona mambo yananyooka
 
Kwani Lisu anasemaje?
 
Chadema wana laana
 
"Hali ya awamu ya sita ni Tete kwa hali hii " waziri mkuu Hana ukali wala meno makali kwa sababu anajua ni awamu yake ya mwisho"
 
Alitakiwa kila akifanya ziara ya kushtukiza anaondoka na mmoja au wawili.
Hapo tungemuelewa.
Ziara hizo hawaziogopi hao maana hakuna jipya sana
 
Alitakiwa kila akifanya ziara ya kushtukiza anaondoka na mmoja au wawili.
Hapo tungemuelewa.
Ziara hizo hawaziogopi hao maana hakuna jipya sana
Majaliwa hawezi kufanya hayo kwa sababu mama anataka waende hivi ilivyo!

Nakuahakikishia baada ya miezi 6 mapato yatarudi kuwa bilioni 4 kwa mwezi
 
Majaliwa hawezi kufanya hayo kwa sababu mama anataka waende hivi ilivyo!

Nakuahakikishia baada ya miezi 6 mapato yatarudi kuwa bilioni 4 kwa mwezi
Hela zikikosekana watagombana. Tutazidi kutoa maoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…