johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
😂😄 Kuwa Mzalendo!Mambo ya kuombeana, watu hawawezi kukuelewa
Yani nikuombee, halaf ukishinda uanze kunitambia 🤣🙌
Bwashee, huo uzalendo wengine hawauwezi 🤣😂😄 Kuwa Mzalendo!
Mecca na Roma Wana Timu?Soka haiongozwi na maombi, linaloongozwa na maandalizi.
Ingekuwa linaloongozwa na maombi Mecca na Roma wangekuwa mabingwa wa dunia kila mwaka
🦁Huyu mdudu hajawahi kuwa mzalendo 🏃🏃😂😄 Kuwa Mzalendo!
🤣🤣🦁Huyu mdudu hajawahi kuwa mzalendo 🏃🏃
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mambo ya kuombeana, watu hawawezi kukuelewa
Yani nikuombee, halaf ukishinda uanze kunitambia [emoji1787][emoji119]
Mpira unachezwa uwanjani na siyo kwa maombi,asituchoshe.Akizungumza Bungeni leo Juni 1, 2023 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amewataka Wabunge na Wananchi wote Waiombee Yanga itwae Ubingwa wa CAFCC
Michezo na Ushindi ni Moja ya mambo yaliyomo Kwenye Ilani ya CCM
Source: Ayo TV
Magufuli yuko ofisini anachapa kazi....anawasalimia sanaAkizungumza Bungeni leo Juni 1, 2023 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amewataka Wabunge na Wananchi wote Waiombee Yanga itwae Ubingwa wa CAFCC
Michezo na Ushindi ni Moja ya mambo yaliyomo Kwenye Ilani ya CCM
Source: Ayo TV