Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Wabunge na Wananchi wote kuiombea Yanga itwae ubingwa wa CAFCC

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Wabunge na Wananchi wote kuiombea Yanga itwae ubingwa wa CAFCC

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Akizungumza Bungeni leo Juni 1, 2023 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amewataka Wabunge na Wananchi wote Waiombee Yanga itwae Ubingwa wa CAFCC

Michezo na Ushindi ni Moja ya mambo yaliyomo Kwenye Ilani ya CCM

Source: Ayo TV
 
Soka haiongozwi na maombi, linaloongozwa na maandalizi.

Ingekuwa linaloongozwa na maombi Mecca na Roma wangekuwa mabingwa wa dunia kila mwaka
 
Napenda Yanga vizuri sanaaaa ila waziri naye angeangalia maombi ya kuombea nchi.
 
Tupo hapa tuna angaika na Surat dhubahah
 
Haombewi mtu, mtu lazima apigwe kipigo kizito
 
Akizungumza Bungeni leo Juni 1, 2023 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amewataka Wabunge na Wananchi wote Waiombee Yanga itwae Ubingwa wa CAFCC

Michezo na Ushindi ni Moja ya mambo yaliyomo Kwenye Ilani ya CCM

Source: Ayo TV
Mpira unachezwa uwanjani na siyo kwa maombi,asituchoshe.
 
Akizungumza Bungeni leo Juni 1, 2023 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amewataka Wabunge na Wananchi wote Waiombee Yanga itwae Ubingwa wa CAFCC

Michezo na Ushindi ni Moja ya mambo yaliyomo Kwenye Ilani ya CCM

Source: Ayo TV
Magufuli yuko ofisini anachapa kazi....anawasalimia sana
 
Huyo naye mnafiki hajui sehemu ya kuombea. Akae kimya kabisa.
 
Kwa wanaojua mpira hakuna shabiki yeyote kokote duniani anaiombea mema mafanikio timu pinzani, wasiojua mpira tu ndio wanaleta habari za uzalendo kwenye mpira, hawajui walitendalo waacheni

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom