Uchaguzi 2020 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa apasua ngome ya Mbowe Hai

Uchaguzi 2020 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa apasua ngome ya Mbowe Hai

Yaani kusema hai haikuwa na mbunge ndiyo kuipasua ngome? Pumba tupu
 
Mkuu, Mbowe huko anaitwa ni Kaka, kwa taarifa yako huyu ni mwanafamilia ktk kila kaya na anakubalika ktk kila familia. Nakuhakikishia wale wahuni wa UVCCM waje tena na fujo zao tena ktk kipindi hiki cha kampeni chini uratibu wa mkora Sabaya ndiyo CCM watatambua ukweli wa mambo.
Mungu awasimamie sana wana wa Hai, hamjui kitu kufeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zenu ndo original, Hilo tunalijua, na zitawasaidia kushinda huu uchaguzi.Picha zitawasaidia [emoji23][emoji23][emoji23]!
Sehemu ilipoandaliwa mkutano ni tofauti kabisa na eneo hilo
 
Umeyaanzisha mwenyewe afu yamekushida? Leta hoja tujadili, au leta matusi nikupe haki yako.
Nisha kupiga ban, hata ukiandika kitu au kama ni matusi mimi siyaoni hivyo usijichoshe kabisa.
 
Wangemuuliza vipi huko Ruangwa anakotoka kuna maendeleo yoyote..?
 
Back
Top Bottom