Bekabundime
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 2,017
- 1,733
Wewe Subiria LISSU apite hapo na Mboe mwenyewe watazimia hawa jamaa.Angalia tu hata profile ya mkutano. Kijani wapo mbelembele, walio wengi huko katikati na nyuma wanawachora tu. Watu wameshurutishwa kwenda mkutanoni. Subiri siku ya kupiga kura watashangaa sana.
Lumumba hawalijui hilo wana puyanga tuHai ni MBOWE na MBOWE ni Hai
Inawezekana labda ni Mbowe wa koromije huyoMbowe huyu huyu Mwamba? Au Mbowe wa Chato!?
Wanafunzi na chekechea kibaoWatakwambia wote waliokuja hapo ni wanafunzi[emoji23][emoji23]
Sasa hivi CCM hali yao ni tete sana ndiyo maana hata na Kikwete kaamua kuokoa jahaziHivi bashiru si alizuia hawa wazururaji kutoka nje ya mikoa yao?
Mungu awasimamie sana wana wa Hai, hamjui kitu kufeliMkuu, Mbowe huko anaitwa ni Kaka, kwa taarifa yako huyu ni mwanafamilia ktk kila kaya na anakubalika ktk kila familia. Nakuhakikishia wale wahuni wa UVCCM waje tena na fujo zao tena ktk kipindi hiki cha kampeni chini uratibu wa mkora Sabaya ndiyo CCM watatambua ukweli wa mambo.
Zenu ndo original, Hilo tunalijua, na zitawasaidia kushinda huu uchaguzi.Picha zitawasaidia πππ!Picha feki
Asingefanya hivyo, mngesema Magufuli ametengwa na viongozi wenzake, huwa hamkosi Cha kusema nyie, waasi.Sasa hivi ccm hali yao ni tete sana ndiyo maana hata na Kikwete kaamua kuokoa jahazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu ilipoandaliwa mkutano ni tofauti kabisa na eneo hiloZenu ndo original, Hilo tunalijua, na zitawasaidia kushinda huu uchaguzi.Picha zitawasaidia [emoji23][emoji23][emoji23]!
Nisha kupiga ban kwani unaona matusi ndiyo mtaji wa ccmSio baba yako mbowe[emoji848]?
Umeyaanzisha mwenyewe afu yamekushida? Leta hoja tujadili, au leta matusi nikupe haki yako.
Nisha kupiga ban, hata ukiandika kitu au kama ni matusi mimi siyaoni hivyo usijichoshe kabisa.Umeyaanzisha mwenyewe afu yamekushida? Leta hoja tujadili, au leta matusi nikupe haki yako.
Kwenda ukoo..ππNisha kupiga ban, hata ukiandika kitu au kama ni matusi mimi siyaoni hivyo usijichoshe kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama yule aliyeuza nyumba za umma kwa hawala zake akiwa wazir?Mbowe anakula pesa yeye peke yake, jamaa ni mlevi wa madaraka pamoja na konyagi.