Uchaguzi 2020 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa apasua ngome ya Mbowe Hai

Hivi inaingia akilini kwamba Mbowe anaweza kuzomewa akiwa kwenye kampeini jimboni mwake HAI? Kama hilo lilitokea basi kuna watu walipangwa kifanya usanii huo - si rahisi kuwahadaa Wachaga, ni binadamu wenye umoja sana wanao jitambua na kuelewana sana wakisha kata shauri uwambii kitu - hata mfanye mbinu gani za kumchafua Mbowe, mwisho wa siku mtashangaa maana watamchagua Mbowe tena regardless ya propaganda zisizo na mantiki.
 
Penye matatizo ya kimaendeleo ni Jimbo la ruangwa na chato. Hai kila kituo Kiko sawa wananchi wanajipangia mipango yao wenyewe.
 
Huyu jamaa kumbe alikuwa hajaanza kampeni tu pamoja na upepo mbaya kw a mboe,,,,! Jamani mbowe had huruma
 
Nakataa siyo kweli, kwa mvuto gani yaani huku kote mikoani akose mvuto eti Hai ndio ang'are
 
28/10/2020 sio mbali. Hamuwajui Wachagga nyie. Muukizeni Mama Minde.. Kwa watu wa kubeba na malori kweli amepasua
 
Sisi wakazi wa Hai hatutamsikia yeyote kwenye uchaguzi huu.Kura ni kwa Mbowe.
Hai kuna maendeleo makubwa kuliko huko jimboni kwa huyo anayejifanya anayajua maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…