Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ashiriki mbio za Ruangwa Marathon 2023

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ashiriki mbio za Ruangwa Marathon 2023

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
d729cd56-3945-479b-9117-7c480e0668af.jpeg

Joseph Panga (1:04:12) na Jackline Sakilu (1:12:08) Washinda Mbio za Ruangwa Half Marathon 2023.

Huku nafasi ya Pili ikienda kwa Hamis Athumani kwa muda wa ( 1:04:15) na nafasi ya tatu ni Nestory Stephen ( 1:04:39) kwa upande wa wanaume.

Kwa upande wa wanawake kwa kilomita 21 , nafasi ya pili ilienda kwa Failuna Abdi Matanga kwa muda wa ( 1:12:33) na nafasi ya tatu ikienda kwa Sarah Ramadhan kwa muda ( 1:14:40).

PICHANI : washindi wa kilomita 21 (21K) mbio za Ruangwa Half Marathon wakipiga picha na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, mara baada ya kumaliza mbio za Kilomita 21 katika mbio za Ruangwa Marathon, zilizofanyika Jumamosi Septemba 9 mjini Ruangwa mkoani Lindi.
 
Back
Top Bottom