Na Wizara ya TAMISEMI inayomiliki huo mradi, Katibu Mkuu yupo, Waziri yupo sasa hivi kabadilishiwa tu wizara ili nako akavuruge kama alivyovurunda TAMISEMI.Waziri Mkuu hapo anaenda hii sijui mara ya tatu kila siku changamoto haziishi na anataka kutatua kwa makamera kazi ipo...Kuna kitu kimejificha hapo apeleke Timu ya ukaguzi tupate majibu ya kitaalamu sio haya ya kisiasa.
Sijakuelewa vozuri. Unaweza ukalifafanua vizuri swali lako? Maana naona haliendani na maelezo ya kwenye joja yangu.Ndio mnasema mama aongoze hadi hadi 2035?
Sawa alikuwa mwizi Ila Mbona mmemtoa na mradi umekufa? Mbona huyo mwizi aliuendesha vizuri?Kisena mwizi,kwa hili mtamuonea magufuli
Si kweli kuwa Hayati Rais Magufuli alianzisha huu mtindo. Nyerere na Kawawa walikuwa wakifanya hivyo mara kwa mara, sema tu wakati ule ufisadi na ubadilifu wa mli za umma ulikuwa bado haujatamalaki.Hii yote ni kwa sababu hatuna mfumo maalumu wa kuendesha nchi,rejea Asskofu Gwajima bungeni last week.
Waziri mkuu anajaribu kufata nyayo za boss wake wa zamani ili kuonyesha watanzania bado wanafanya kazi.
Sikatai ni jambo jema lakini bado tupo nyuma sana sana kama mambo yenyewe ndiyo haya.
Nilitegemea Rais Samia aje na ajenda yake ya kiutendaji kuliko haya mambo ya kujaribu kokopi na kupesti ili kuridhisha wananchi
bado sana.
Sidhani hata 50 yanafika hayo mabasi yanayofanya kazi,ushenzi mtupu!Hayo mabasi 100 yanafanya kazi barabara zipi aisee?? Abiria wanajazana kituoni mabasi hayaji halafu mnasema mabasi yaliyo barabarani ni 100,aah wapi?
Mwendokasi ubabaishaji ni mkubwa sana, mfumo wa kuonesha tiketi kwenye mashine umekufa zaidi ya miaka 2 sasa na hakuna hatua zinazochukuliwa.
Mabasi yanayofanya kazi ni machache na hayo machache madereva wanapaki wanavyotaka..utasikia derava anakunywa chai, mara anapumzika nk
Usiri wa nini? Sisi ndio walipa kodi,lazima tujue kinachoendelea,staha kumfanyia mwizi ni dhambi sana.Tunarudi kule kule. Haya mambo si ya kuulizana jukwaani. Angemwita yeye na viongozi wake ili wakae waone tatizo liko wapi. Kama ni uongozi lingeonekana tu.
Na kama ni serikali ingeonekana tu maana Meneja angeweza kusema kweli yake bila kuonekana kuwa anamdhalilisha WM hadharani. Inabidi viongozi wakuu wabadilike.
Amandla...
Wewe ndo unakosea.. Waziri amefanya "Surprise Visiti" ina maana atakuwa na taatifa za awali, hapo n kwenda kuhakikisha tu. Yote aliyoyasema ni kweli tupu. Mfano mashine zilikuwa nzima sasa zimekufa na hakuna hatua yoyoteTunarudi kule kule. Haya mambo si ya kuulizana jukwaani. Angemwita yeye na viongozi wake ili wakae waone tatizo liko wapi. Kama ni uongozi lingeonekana tu.
Na kama ni serikali ingeonekana tu maana Meneja angeweza kusema kweli yake bila kuonekana kuwa anamdhalilisha WM hadharani. Inabidi viongozi wakuu wabadilike.
Amandla...
Mtajua kinachoendelea kwa kusikiliza upande mmoja?Usiri wa nini ?,sisi ndio walipa kodi,lazima tujue kinachoendelea,staha kumfanyia mwizi ni dhambi sana
Hizi mashine hazikuharibika jana wala juzi. Wote wanajua hilo.Wewe ndo unakosea.. Waziri amefanya "Surprise Visiti" ina maana atakuwa na taatifa za awali, hapo n kwenda kuhakikisha tu. Yote aliyoyasema ni kweli tupu. Mfano mashine zilikuwa nzima sasa zimekufa na hakuna hatua yoyote
Unatetea ujinga.Tunarudi kule kule. Haya mambo si ya kuulizana jukwaani. Angemwita yeye na viongozi wake ili wakae waone tatizo liko wapi. Kama ni uongozi lingeonekana tu.
Na kama ni serikali ingeonekana tu maana Meneja angeweza kusema kweli yake bila kuonekana kuwa anamdhalilisha WM hadharani. Inabidi viongozi wakuu wabadilike.
Amandla...
Ni kweli suala la matope halipendezi lakini kisichopendeza zaidi ni kuwa hayawezi kutembea. Hilo ndio swali la kuulizwa kwenye kikao.Unatetea ujinga.
Hivi kweli kuosha na kusafisha matope ndani ya mabasi kunahitaji kikao?
Kununua mabasi mapya unahitaji kuuliza?
Hivi kweli kugawa tiketi kunahitaji maamuzi?
Hii ni ujinga ndani ya biashara.
Huyu anazidiwa hata na konda wa daladala anajua wajibu wake.
STD 7 vs PhD manager.
Umemuelewa?Mwongo mkubwa!
UDART haijawahi kuwa na konda wa kuuza ticket kama daladala